jokotinda_Jr
JF-Expert Member
- Apr 9, 2022
- 882
- 1,536
- Thread starter
- #221
Ofcoz kama jambo halijakupata cyo rahisi kuamini ... OK huniamni mmi je? Hata cement za wadau huziamini pia au sisi wote letu ni moja kasoro wew ..... amka usingizini mzee .... pia kama jambo hulijui ukikaa kimya na kutaka kujifunza itakusaidia itakuongezea busara kuliko iviiiNina miaka mingi sana hapa na halijawahi nitokea, itakuwa unawatafuta mwenyewe! Unless unawataja, unakuwa mmoja wao.