Baadhi ya wanaume humu JF tubadilike tunashusha utu wetu na thamani yetu

Status
Not open for further replies.
hahaha kwa hiyo ndo wanachangamkia fursa kwa staili hiyo mama anaupiga mwingi kweli, ukizingatia maendeleo hayana chama
 
Sio vizuri mambo yenu ya PM huko Kuja kuyaweka hadharani ilibidi muyamalize wenyewe mtukanane huko huko
 
Ukalime mpunga tu ndugu
Wanaume wengi hawana mahaba Wala mapenz hayo ambayo sie tunadhania Sasa ukiongezea na kujifanya hujielew unaeumia ni mwanamke
Una akili sana ujuee ulitakiwa uzaliwe mambele hukooo!!😁!

Kwakweli acha tukomae tuu
 
Sio vizuri mambo yenu ya PM huko Kuja kuyaweka hadharani ilibidi muyamalize wenyewe mtukanane huko huko View attachment 2647814
Ukiangalia uzi wangu hakuna ushahidi wa wazi nlio uweka hapa ...pili lengo nikuzuia tabia kama hizi za kitapeli zisiendelee hakuna cha siri hapa .... na watu wenye tabia kama hizi wache mara moja
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…