Baadhi ya wanaume humu JF tubadilike tunashusha utu wetu na thamani yetu

Baadhi ya wanaume humu JF tubadilike tunashusha utu wetu na thamani yetu

Status
Not open for further replies.
AhahahahahahaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Yaaani mii ndo najichanganyaga sana antiel wee acha tuu sumbua sana PM πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kumbe nawewe huvumi lakini umooo ankoooπŸ˜‚!!
At your own risk ni hatareeee
 
kwanza hata wangekua madem mi sipend madem wa namna hiyo
Wew unaonekana mjanja πŸ˜€nakumbukaga Uzi wa kumuona umpendaye kimijiuza πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€hatar sana mnatuongezea siku za Kuishi Kwa kucheka loohπŸ˜€
 
Hukutakiwa kumtaja... Wewe ungesema tu tabia flani sio nzuri sasa huko mbele watu wanaanza kumtaja wamejuaje kama hujawaambia PM sisi ni wanaume tuwe na kaba inabidi muwe mnajadili tu bila kumrelease mtu au kuonyesha ishara yoyote Ile itakayofanya member wamjue.

MIMI hii account yangu nilikuta imeunganishwa na account ambazo hata si zangu mpaka nililalamika jamiiforum lakini wakasema eti fake account zangu zimeunganishwa Kati si kweli. Nilikuta ujumbe wa kutisha watu wamepeana mawasiliano, wanamipango ya hatari yakuhatarisha usalama wao naniwatu ambao sikuzania wana mambo hayo ila nipo kimyaaaaaa kama sijui kitu because iam matured enough penye mengi Kuna mengi
Nimekupata ila staki utoke kwenye point yangu kuwa hawa watu kwa sasa wamezidi nivema tukawaweka hadharani lengo ni kukomesha vitendo kama ivi ..... tutawaficha mpaka lini wakati ukisoma tu comment watu wamesha funguka inamana wanajulikana .....mficha maovu mauti humumbua usijaribu kuwa tetea wapubavu kwa mwamvuli wa kulinda faragha (privacy) zao nafasi kama hii inapo tokea wapigwe nyundo tu
 
Nilikuta ujumbe wa kutisha watu wamepeana mawasiliano, wanamipango ya hatari yakuhatarisha usalama wao naniwatu ambao sikuzania wana mambo hayo ila nipo kimyaaaaaa kama sijui kitu because iam matured enough penye mengi Kuna mengi
Heheeee hujaakuta wanaogawa pesa za asali πŸ₯³πŸ«£πŸ€­
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom