National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,177
- 56,121
hizo option zote nilimpa, hadi nikamumbia chukua usafiri unikute mahala hataki.. next day akaniambia simba wanacheza nikaona hizi sound hizii π π π π tunapitia mengi sanaAkawa hataki kufatwa?
Ungemrequestia bolt labda anaona aibu kufatwa..hahahahah uwiii
Ankoli akee kumbe nawe umoooo sio kwa kupenda wowo hukoooπππ!!Mambo ya WhatsApp mkuu, yakaharibu kila kitu sasa,
Mi ningefanyaje π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£, tena dp yake ana bonge la hips na tako, πππ
Acha tu dada, acha tu nakwambia dada acha kabisaWeeeee poleee...ulikua pis Kali....nyama nyingi ugali kidogoo
Jua linawaka sana.....sababu kama hizo...hizo option zote nilimpa, hadi nikamumbia chukua usafiri unikute mahala hataki.. next day akaniambia simba wanacheza nikaona hizi sound hizii π π π π tunapitia mengi sana
Itakua Kuna list kubwa sana wameliwa elaAnkoli akee kumbe nawe umoooo sio kwa kupenda wowo hukoooπππ!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiseme hivyoo, mtashangaa mnajikwa kwenye I'd angu ingine huko.Mi najua muandiko wako ww, na huwezi kuwa na id nyingine kabisa navyofahamu, [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16],
Na kama ungekuww nayo watu wangekujua tu
Ile wowowo auntiee ohooo asee mapaja yamejaa kinoma tena meupe peee, mmmhAnkoli akee kumbe nawe umoooo sio kwa kupenda wowo hukoooπππ!!
tatizo mnajifanya mna hela.... mm mbona hawaniombi?Si bora hivyo.... Kuna wengine hawajifanyi wanawake, wanakuja hivyo hivyo kuomba hela
πππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Itakua Kuna list kubwa sana wameliwa ela
Kama huyo dada sidhani kama ni mhusika ila picha zake zipo jf kwa shutuma za utapeliAisee mwanzo hadi mwisho. Kikawaida wanawake tuna βhayaβ sana. Ukiona ke yuko bold hasa kuzungumzia mapenzi kwa kuporomosha nyuzi na nyuzi shtuka.
Kingine nimejifunza Yawezekana ukawa zako huko hata JF huijui huna hili wala lile picha zako zikawa zinatumika kutapeli watu.
Hahahahahah hiyo I'd ni ipi??Acha tu dada, acha tu nakwambia dada acha kabisa
Ndo maana nikaanzisha thread kabisa juu ya hilo, ila watu hawakuelewa mi nikaacha tu waendelee kupigwa sa mi nifanyaje π π π
π π π dogo alikuwa na ma ahadi ya hatari yani . alafu nilikuwa speed nilikuwa na mda mchache sana hapa town.. mambo mazito yalikuwa nimtunie nauli tuje tukae mwanza anipe furaha hata wiki hivi..Jua linawaka sana.....sababu kama hizo...
Ulikua ushatengeneza mpambano kichwani....na kujiapiza Leo natafuna Hadi mifupa
Dah nimecheka sana Leo....πππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Hali ni tete ππππππ
π€£π€£π€£π€£π , embu tuone, hahaha sijui itakuwaje humu ndani asee, ππππππππ¬π¬[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiseme hivyoo, mtashangaa mnajikwa kwenye I'd angu ingine huko.
Kwa kupitia hizo picha, mbna ilikua rahis kujulikanaaa tyuuh, sababu ni watu tofautii yaan. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]dogo chenga sana, ila sijui alituroga.. unaona kabisa hii picha sio.. ila tumoo tuuu . kaa mbali na upwiru
mtajeni saasaOya huyo hata mi nimeshamjua Halafu anajifanya anapost mathread kibao humu JF kila siku kumbe libaba kabisa na midevu yakeππ
namjua mmoja nipo nachart nae tunachekaa kinomaaa π π πItakua Kuna list kubwa sana wameliwa ela
Haya maisha haya mda huo unapanga yote hayoπ π π dogo alikuwa na ma ahadi ya hatari yani . alafu nilikuwa speed nilikuwa na mda mchache sana hapa town.. mambo mazito yalikuwa nimtunie nauli tuje tukae mwanza anipe furaha hata wiki hivi..
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jua linawaka sana.....sababu kama hizo...
Ulikua ushatengeneza mpambano kichwani....na kujiapiza Leo natafuna Hadi mifupa
upwiru ulifuta akiliKwa kupitia hizo picha, mbna ilikua rahis kujulikanaaa tyuuh, sababu ni watu tofautii yaan. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]