Baadhi ya wanaume humu JF tubadilike tunashusha utu wetu na thamani yetu

Status
Not open for further replies.
😅😅😅 hapana alipata ka buku mbili tu ka vocha .. baada ya hapo nikatia mgomo.. mala anataka KFC mala ooh! nikawa naumbia niambie mahala popote nikufate anakwepaaa.. nikaona chengaa hii kama chengaa zingineee akala na block
Eeeeh SI ungempigia ukasikia sauti?
Mtu jamaa anaomba vocha ya 2000 embu fikiria msalaba WA kumbeba duh....
Ngoja nisome comenta kwanza naona Kuna kivumbi humu....Hadi wewe ukashindwa medani za kivita kabla hujatuma hahahah
 
Ankoliii nifatee hapa Mawasilianoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Woiiiiiiii ulipigwa ya vochaaaa daaah
😅😅😅😅 na bahati mbaya nipo na wife .. alafu karibu sana na hapo.. nisije muuzi bureee
 
Aisee mwanzo hadi mwisho. Kikawaida wanawake tuna “haya” sana. Ukiona ke yuko bold hasa kuzungumzia mapenzi kwa kuporomosha nyuzi na nyuzi shtuka.

Kingine nimejifunza Yawezekana ukawa zako huko hata JF huijui huna hili wala lile picha zako zikawa zinatumika kutapeli watu.
 
Eeeeh SI ungempigia ukasikia sauti?
Mtu jamaa anaomba vocha ya 2000 embu fikiria msalaba WA kumbeba duh....
Ngoja nisome comenta kwanza naona Kuna kivumbi humu....Hadi wewe ukashindwa medani za kivita kabla hujatuma hahahah
Mbinu ya kwanza ilikubali . kwanza sikutumia Local call.. nilimpigia kwa namba ya nje.. nikasikia demu kabisa na yupo kwenye mvt.. akatuma picha nyingi nikawa zote na mashaka nazo hazina uwiano na zingine nilisha ziona mahala, kucheki namba zake za simu alinipa 4.. majina tofauti ila ya kike.. kuna vitu nilikuwa nataka kujihakikishia maana pia nilikuwa naamini ni member wa mda mrefu ana nichotaa .. maana kwanA alikuja PM mwenyewe . story mingii ila fresh buku mbili ilikuwa chambooo.. angekuwa kei kweli angeliwa kwa hiyi hiyo buku mbili 😅😅😅
 
Aisee mwanzo hadi mwisho. Kikawaida wanawake tuna “haya” sana. Ukiona ke yuko bold hasa kuzungumzia mapenzi kwa kuporomosha nyuzi na nyuzi shtuka.

Kingine nimejifunza Yawezekana ukawa zako huko hata JF huijui huna hili wala lile picha zako zikawa zinatumika kutapeli watu.
🤣🤣😆😆😆😆😆😆, aseeee
 
Hili nakazia picha zinazotumika Sio za watu halisi
 
huyu dogo alinipata aisee 😅😅😅
upwiru mmbayaaa.. mbinu zangu zote za kijeshi niliweka kandooo...

nimeanza unga doti kwanza aliacha kupokea simu ghalfa . alinipa namba nne 🤣🤣🤣... nampigia hapokei uzuri situmii namba local kwenye harakati za pimbi
Upwiru hadi ukakubali kukaa sawa..hahaha! Lakini asee upwiru noma sana, unaweza kufanya vitu vya hovyo hadi basi!
 
Aisee mwanzo hadi mwisho. Kikawaida wanawake tuna “haya” sana. Ukiona ke yuko bold hasa kuzungumzia mapenzi kwa kuporomosha nyuzi na nyuzi shtuka.

Kingine nimejifunza Yawezekana ukawa zako huko hata JF huijui huna hili wala lile picha zako zikawa zinatumika kutapeli watu.
Sure .....
Unashangaa picha yako inabandikwa
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom