Baadhi ya wanaume humu JF tubadilike tunashusha utu wetu na thamani yetu

Baadhi ya wanaume humu JF tubadilike tunashusha utu wetu na thamani yetu

Status
Not open for further replies.
Upwiru hadi ukakubali kukaa sawa..hahaha! Lakini asee upwiru noma sana, unaweza kufanya vitu vya hovyo hadi basi!
😅😅😅 CIA anauliwa na raia wa kawaida ndio hiii.. alikuja mazima mazimaaa .. kawakaaa kinomaa mie udendaa huooo ... sema nilicho ponea ni mgomo wa kutuma , nae alipokuwa anachomoa kufatwaa nikasema hapa hapati kitu
 
Alikua anataka mfanye s*x phone au?
Sasa anatakaje
 
Dah naona uvivu kupitoa coment....
Alikutongoza au ulimtongoza?
Bwanaa wee alikuja kujitongozesha.. na alianza yeye nifata . ingawa mala nyingi sipendi mawasiliano PM siku hiyo nilijisahahu kuna mtu nilikuwa nachart nae nikawa nimesahahu ifunga . ndio nikakutana na yake
 
😅😅😅 CIA anauliwa na raia wa kawaida ndio hiii.. alikuja mazima mazimaaa .. kawakaaa kinomaa mie udendaa huooo ... sema nilicho ponea ni mgomo wa kutuma , nae alipokuwa anachomoa kufatwaa nikasema hapa hapati kitu
🤣🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆 Aseee, kuna balaa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] km I'd yangu ingine jee??
Mi najua muandiko wako ww, na huwezi kuwa na id nyingine kabisa navyofahamu, 😁😁😁😁😁😁😁,

Na kama ungekuww nayo watu wangekujua tu
 
😅😅😅 CIA anauliwa na raia wa kawaida ndio hiii.. alikuja mazima mazimaaa .. kawakaaa kinomaa mie udendaa huooo ... sema nilicho ponea ni mgomo wa kutuma , nae alipokuwa anachomoa kufatwaa nikasema hapa hapati kitu
Hahahah, mkuu wewe ni legendary wallah tena. Upo deep sana hata Mzee wa kupambania na mzabzab wanalijua hili.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] afu mbna hizo picha ni km watu tofauti tofauti, au macho yangu yana makengezaa??
dogo chenga sana, ila sijui alituroga.. unaona kabisa hii picha sio.. ila tumoo tuuu . kaa mbali na upwiru
 
Hahahahahahahaha uwiiiiiiii nipo saluni usinchekeshe hahahahahahahaha uwiiii hakiyanani.
Ulivutiwa na nyuzi uwiiii.
Ukaja kujuaje ni WA kiume
Mambo ya WhatsApp mkuu, yakaharibu kila kitu sasa,

Mi ningefanyaje 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣, tena dp yake ana bonge la hips na tako, 😆😆😆
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom