Baadhi ya wanaume kumiliki wanawake zaidi ya mmoja haileti uhaba wa wanawake kwa wanaume wengine?

Baadhi ya wanaume kumiliki wanawake zaidi ya mmoja haileti uhaba wa wanawake kwa wanaume wengine?

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Hili suala la baadhi ya wanaume kumiliki mwanamke zaidi ya mmoja nafikiri ni tatizo kwenye jamii.

Uwiano (ratio) wa wanaume kwa wanawake duniani ni wanaume 101 kwa wanawake 100 au takribani 1:1. Hii ina maana baadhi ya wanaume wakiwa na wapenzi au wake wawili au zaidi inaharibu mzani na kusababisha wanaume wengine kukosa wapenzi/wake.
 
●Kuna wanaume ambao bado ni watoto.
●Kuna wanaume wameshazeeka.
●Kuna wale ndugu zetu wameleft group.
●Kuna wanaume wao ni mke mmoja, no concubine no nothing.

Tusipotia juhudi sisi ambao hatufungamani na pande zote hizo unadhani hawa wanawake wataishije!!
 
Hili suala la baadhi ya wanaume kumiliki mwanamke zaidi ya mmoja nafikiri ni tatizo kwenye jamii.

Uwiano (ratio) wa wanaume kwa wanawake duniani ni wanaume 101 kwa wanawake 100 au takribani 1:1, hii ina maana baadhi ya wanaume wakiwa na wapenzi au wake wawili au zaidi inaharibu mzani na kusababisha wanaume wengine kukosa wapenzi/wake.
Ni kweli inaleta uhaba, ndio Maana Bodaboda wanagombaniana Malaya mitaani
 
kihisabati na kitafiti, mwanamume mmoja kuwa na wanawake wengi (mitala) husababisha uhaba wa wanawake kwa wanaume wengine. Hali hii hutokea kwa sababu uwiano wa jinsia wa binadamu duniani kote upo karibu uwiano wa 1:1 (idadi ya wanaume na wanawake inalingana kwa kiasi kikubwa).
 
●Kuna wanaume ambao bado ni watoto.
●Kuna wanaume wameshazeeka.
●Kuna wale ndugu zetu wameleft group.
●Kuna wanaume wao ni mke mmoja, no concubine no nothing.

Tusipotia juhudi sisi ambao hatufungamani na pande zote hizo unadhani hawa wanawake wataishije!!
1. Kuna wanawake bado ni watoto.

2. Kuna wanawake wamezeeka. Tena wanawake wakizeeka wakifika miaka 60 masuala ya mapenzi wanaachana nayo kabisa wakati wanaume hata wa miaka 80 wanapeta tu, kwa hiyo tatizo linazidi kuaa kubwa zaidi.

3. Kuna wanawake wameleft group pia.
 
1. Kuna wanawake ni watoto,

2. Kuna wanawake wamezeeka (tena wanawake wakizeeka wakifika miaka 60 masuala ya mapenzi wanaachana nayo kabisa wakati wanaume hata wa miaka 80 wanapeta tu, kwa hiyo tatizo ni kubwa zaidi hapa)

3. Kuna wanawake wameleft group pia.
mwanamke alie left akikunwa vizuri anarudi kwenye msitari
 
kihisabati na kitafiti, mwanamume mmoja kuwa na wanawake wengi (mitala) husababisha uhaba wa wanawake kwa wanaume wengine. Hali hii hutokea kwa sababu uwiano wa jinsia wa binadamu duniani kote upo karibu uwiano wa 1:1 (idadi ya wanaume na wanawake inalingana kwa kiasi kikubwa).
Hii ina maana lazima wanaume wanyang'anyane wanawake, wachukue single mothers, wasuburie wanawake watakaoachwa na wanaume wengine na pia watumie muda mwingi na rasilimali nyingi sana katika soko la mapenzi kutokana na ushindani mkali.

Sitaki kusema inaweza kuwa sababu pia ya kuchangia ushoga kwa wanaume, itaibua mzozo😁
 
Haummiliki, unakuwa naye tu. Na kama ulivyo na wengi naye anaweza kufanya hivyo hivyo bila wewe kujua.
Wanaume wengi wanakuwa na wanawake wengi kwa njia rasmi (ndoa za mitaala) na zisizo rasmi (michepuko au girlfriends wengi). Wanawake wachache ndio wanaweza kuwa na wanaume wengi tena kwa njia zisizo rasmi/ za kificho. Shida Iko palepale.
 
Back
Top Bottom