Baadhi ya wanaume kumiliki wanawake zaidi ya mmoja haileti uhaba wa wanawake kwa wanaume wengine?

Uzuri wanawake wenyewe hawana hiyana.

Anaweza akamilikiwa na mwanaume anaemiliki wanawake 5 na yeye akamiliki wanaume wake 5.

Kila mmoja ataburudika kwa wakati wake kwa kadri ya pochi lake linavyomruhusu.

Uliem save ',mke wangu' kwenye simu, kuna njemba kam save 'Mwajuma Kikundu'.
 
Uliambiwa wanaume na wanawake wenye kisukari hawafanyi mapenzi??
TUnazungumzia me na ke kufanya mapenzi, au me kupungukiwa uwezo wa kufanya mapenzi sababu ya kisukari?
 
Kupungukiwa uwezo wa kufanya mapenzi sio kuondolewa na uanaume au uanamke wako.
 
Uzuri wanawake wenyewe hawana hiyana.

Anaweza akamilikiwa na mwanaume anaemiliki wanawake 5 na yeye akamiliki wanaume wake 5.

Kila mmoja ataburudika kwa wakati wake kwa kadri ya pochi lake linavyomruhusu.

Uliem save ',mke wangu' kwenye simu, kuna njemba kam save 'Mwajuma Kikundu'.
Tatizo linakuja kwenye kuanzisha familia, mwanaume hawezi kuanzisha familia na mke au mpenzi wa mwanaume mwingine bila kuachana.
 
Chief, unaishi dunia gani wewe. Tembea uyaone.
 
Uliambiwa wanaume na wanawake wenye kisukari hawafanyi mapenzi??
Inategemea hiyo sukari ipo level gani, kuna wenye sukari hata kusimamisha mara moja kwa mwezi hawawezi.
 
Kupungukiwa uwezo wa kufanya mapenzi sio kuondolewa na uanaume au uanamke wako.
Sawa sawa... kawaulize wadada wanaokutana na wazee wa kimoja chali(cha jogoo), ama moto unakatikia njiani.. utapata majibu mazuri kuhusu uanaume.. na je mwanaume wa hivyo anaweza dumu nae kwenye mahusiano pasina kuhitajI Mti wa pili?
 
Back
Top Bottom