Kilaza Wa Bongo
Member
- Aug 10, 2017
- 16
- 28
Hili swala serikali waliangalie linaleta shida kabisa
Nature ina balance, wanaume wanazaliwa wengi zaidi kuliko wanawake kwa wastani wa watoto wa kiume 105 kwa kila watoto 100 wa kike wanaozaliwa.Hizo ni takwimu mkuu, baada ya kuzaliwa, mortality rate kwa wanaume(kuanzia utotoni) iko juu kuliko wanawake. Hii inafanya wanawake wawe wengi, ukijumlisha na factors nyingine idadi ya wanawake waliopo active kwenye ngono ni kubwa kuliko wanaume.
😁😎🏃Haileti uhaba sababu wanawake 8 kati ya 10 wana mwanaume zaidi ya 1.
Wa kulipa kodi ya nyumba,
Wa kumfikisha kileleni,
Yule anayempenda n.k
Katika uzazi, watoto wa kiume 105 wanazaliwa kwa kila watoto wa kike 100. Katika uzazi watoto wa kiume wanazaliwa wengi zaidi kuliko wa kike.Hakuna kitu kama hicho mana uzao wa jamii ya wanawake ni wengi kuliko wanaume, na kama unabisha fanya tathmini alafu uone utakuja kutwambia. Ila sio usemi nikiwa na wake wawili ety kunawatu wanakosa wake, hakuna kitu kama hicho.
Wanaume wapo, ila wamezidiwa...halafu ili usavaiv lazima upambane. Ukiona mwanaume unayempenda usisubiri akuanze, mianze wewe. Anzia hapa jf madam😅😅 duniani ni kunyang'anyanaMbona kama wanaume ndio hakuna? sisi wengine tushakua masingle sugu.
Nilikuwa najaribu kupitia kidogo, pamoja na wanaume wengi kuzaliwa, ila wanakufa mapema sana kuliko wanawake. Ni nchi chache sana zina wanaume wengi kuliko wanawake. Kuna nchi kama Russia, wanawake wapo 10m zaidi ya wanaume. Imagine wanawake zaidi ya milioni kumi, kumbuka nchi kama Russia hata hao wanaume waliopo active sio wapenzi wa ngono pia, so inawezekana zaidi ya wanawake 20m hawana wanaume wa kuwaweka.Nature ina balance, wanaume wanazaliwa wengi zaidi kuliko wanawake kwa wastani wa watoto wa kiume 105 kwa kila watoto 100 wa kike wanaozaliwa.
Tuzungumzie Tanzania mkuu ambayo haiko vitani na ambayo wanaume wake wanazidiwa idadi na wanawake kwenda uarabuni kufanya kazi.Nilikuwa najaribu kupitia kidogo, pamoja na wanaume wengi kuzaliwa, ila wanakufa mapema sana kuliko wanawake. Ni nchi chache sana zina wanaume wengi kuliko wanawake. Kuna nchi kama Russia, wanawake wapo 10m zaidi ya wanaume. Imagine wanawake zaidi ya milioni kumi, kumbuka nchi kama Russia hata hao wanaume waliopo active sio wapenzi wa ngono pia, so inawezekana zaidi ya wanawake 20m hawana wanaume wa kuwaweka.
Kuna nchi zina hadi 60 to 40 female to male ratio.
Usijisahaulishe pia kuwa:●Kuna wanaume ambao bado ni watoto.
●Kuna wanaume wameshazeeka.
●Kuna wale ndugu zetu wameleft group.
●Kuna wanaume wao ni mke mmoja, no concubine no nothing.
Tusipotia juhudi sisi ambao hatufungamani na pande zote hizo unadhani hawa wanawake wataishije!!
Hii hali huwa inanishangaza kwq India idadi ya wanaume kuwa wengi kuliko wanawake huenda ndiyo inayosababisha gang rape kwa wingi.kihisabati na kitafiti, mwanamume mmoja kuwa na wanawake wengi (mitala) husababisha uhaba wa wanawake kwa wanaume wengine. Hali hii hutokea kwa sababu uwiano wa jinsia wa binadamu duniani kote upo karibu uwiano wa 1:1 (idadi ya wanaume na wanawake inalingana kwa kiasi kikubwa).
Tanzania ipo kwenye kundi la nchi ambazo watu wake uwiano wa jinsi ni almost equal.Tuzungumzie Tanzania mkuu ambayo haiko vitani na ambayo wanaume wake wanazidiwa idadi na wanawake kwenda uarabuni kufanya kazi.
Unasema sukari haifanyi nini???Ugonjwa wa kisukari hauondoi uanaume wa mtu,
Makhanithi wapo wa kike pia,
Kuna wanawake walioleft group pia
Ratio ya wanawake kwenye suala la mahusiano inaweza kuwa chini zaidi kwa sababu wanawake wakifika miaka 60 ni kama wanatoka kwenye soko la mapenzi huku wanaume hadi wa miaka 80 bado wanakuwa active kwenye soko la mapenzi tena wakichukua vibinti vidogo kabisa.
Sawa daktariSukari haiondoi uanaume au uanamke wa mtu.