Andromeda Galaxy
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 9,846
- 16,713
Nikiangalia mfano wa wanyama ni mara chache sana kukuta madume ni mengi kuliko majike, hata kwetu sisi binadamu itakuwa hivyo hizi sensa kuna upikaji mwingi wa dataWanawake ni wengi wako bilioni 4 na wanaume ni wengi wako bilioni 4
Acha ujinga 😂mwanamke alie left akikunwa vizuri anarudi kwenye msitari
Inategemea wanyama gani, kama ni wanyama wa kufugwa madume huwa yanachinjwa zaidi huku majike yanabakizwa. Kama ni porini kwa predators mfano Simba majike na madume yanazaliwa kwa idadi sawa ila madume huwa yanaua sana madume wenzao kwa sababu ya kugombania majike.Nikiangalia mfano wa wanyama ni mara chache sana kukuta madume ni mengi kuliko majike, hata kwetu sisi binadamu itakuwa hivyo hizi sensa kuna upikaji mwingi wa data
Kiuhalisia, idadi ya wanawake wanaotaka kuwa kwenye relationship ni kubwa kuliko idadi ya wanaume ambao wanataka kuwa kwenye relationship.Hili suala la baadhi ya wanaume kumiliki mwanamke zaidi ya mmoja nafikiri ni tatizo kwenye jamii.
Uwiano (ratio) wa wanaume kwa wanawake duniani ni wanaume 101 kwa wanawake 100 au takribani 1:1. Hii ina maana baadhi ya wanaume wakiwa na wapenzi au wake wawili au zaidi inaharibu mzani na kusababisha wanaume wengine kukosa wapenzi/wake.
Sio kwamba nature ina prefer majike yawe mengi kuliko madumeInategemea wanyama gani, kama ni wanyama wa kufugwa madume huwa yanachinjwa zaidi huku majike yanabakizwa. Kama ni porini kwa predators mfano Simba majike na madume yanazaliwa kwa idadi sawa ila madume huwa yanaua sana madume wenzao kwa sababu ya kugombania majike.
Ugonjwa wa kisukari hauondoi uanaume wa mtu,Niliposoma kichwa cha uzi wako swali la kwanza nilitaka nijue ratio ya wanawake kwa wanaume..
Nimekuta umeandika 1:1
Je unezingatia
Wagonjwa wa kisukari
Wale makhanithi kabisa
Wale wasio na nguvu za kiume
Halafu kuna yale MACHOKO kabisa, walioleft group?
Unaweza kukuta ratio ni mwanaume 1 kwa wanawake wa4 ama kuzidi
Sio kweli, wanawawake wanachagua watu wenye kipato au hali nzuri ya uchumi.Kiuhalisia, idadi ya wanawake wanaotaka kuwa kwenye relationship ni kubwa kuliko idadi ya wanaume ambao wanataka kuwa kwenye relationship.
Kwa upande mmoja, mimi sijawahi kukutana na mwanaume ambaye amekosa mwanamke wa kujenga naye relationship. Kwa upande mwingine, kuna wanawake kadhaa ninaowajua ambao wamesubiri kwa muda mrefu mpaka wakakata tamaa na kuamua kuzaa tu na mwanaume yeyote, bila kujali kama huyo mwanaume ni single au tayari ana mke au wake. Window yao ya healthy pregnancies iko tight. Wakicheza inakula kwao!
Tanzania in wafungwa 24,000,Tusisahau kuna wanaume wengi wapo jela,hii inazid kupunguza idadi wa wanaume mitaani
Kwenye takwimu za kuzaliwa wanaume wanazaliwa zaidi ya wanawake, kwa kila wanaume 101 wanaozaliwa, wanawake wanazaliwa 100.1. Kuna wanawake bado ni watoto.
2. Kuna wanawake wamezeeka. Tena wanawake wakizeeka wakifika miaka 60 masuala ya mapenzi wanaachana nayo kabisa wakati wanaume hata wa miaka 80 wanapeta tu, kwa hiyo tatizo linazidi kuaa kubwa zaidi.
3. Kuna wanawake wameleft group pia.
Ni sawa lakini wanaume wengi 60+ wamechoka(japo kibailojia bado wanaweza), lakini pia wanaume wanakufa mapema kuliko wanawake.Tanzania in wafungwa 24,000,
Pia wanawake wengi wanaondoka soko la mapenzi mapema zaidi kuliko wanaume. Wanawake wa miaka 60 wanaondoka kwenye soko la mapenzi wakati wanaume hadi miaka 80 bado wako kwenye soko la mapenzi kutafuta mabinti.
Hawagombanii kwa kuwa wanawake hawapo ila wanaogopa kuhudumia hivyo wanataka rejareja sio wa jumlaNi kweli inaleta uhaba, ndio Maana Bodaboda wanagombaniana Malaya mitaani
Mkuu acha utani, wanaume wa miaka 60 wanaopoa wanawake hadi wa miaka 30, wanaume wa miaka 60 na 70 wako fit kabisa wanakomaa na michepuko vibinti vidogo vya chuo, bar, housegirls n.kNi sawa lakini wanaume wengi 60+ wamechoka(japo kibailojia bado wanaweza), lakini pia wanaume wanakufa mapema kuliko wanawake.
Ukienda kinchi pia zipo nchi zenye wanaume wengi kuliko wanawake mfano China na India.Kwenye takwimu za kuzaliwa wanaume wanazaliwa zaidi ya wanawake, kwa kila wanaume 101 wanaozaliwa, wanawake wanazaliwa 100.
Ila baada ya kuzaliwa wanaume wanakufa zaidi ya wanawake, so ile rate ya wanawake kuwa wengi kuliko wanaume ndio inakuja hapo.
Lakini pia kuna maeneo duniani wanawake ni wengi kuliko wanaume, Russia na Ukraine kwa mfano, wanawake ni wengi, wanaume hawawawezi wanawake.
Hizo ni takwimu mkuu, baada ya kuzaliwa, mortality rate kwa wanaume(kuanzia utotoni) iko juu kuliko wanawake. Hii inafanya wanawake wawe wengi, ukijumlisha na factors nyingine idadi ya wanawake waliopo active kwenye ngono ni kubwa kuliko wanaume.Mkuu acha utani, wanaume wa miaka 60 wanaopoa wanawake hadi wa miaka 30, wanaume wa miaka 60 na 70 wako fit kabisa wanakomaa na michepuko vibinti vidogo vya chuo, bar, housegirls n.k
Una ushahidi gani wanaume wanakufa mapema kuliko wanawake na kwa idadi toshelevu kubalansi mzani??