Baadhi ya wanaume kumiliki wanawake zaidi ya mmoja haileti uhaba wa wanawake kwa wanaume wengine?

Hizo ni takwimu mkuu, baada ya kuzaliwa, mortality rate kwa wanaume(kuanzia utotoni) iko juu kuliko wanawake. Hii inafanya wanawake wawe wengi, ukijumlisha na factors nyingine idadi ya wanawake waliopo active kwenye ngono ni kubwa kuliko wanaume.
Nature ina balance, wanaume wanazaliwa wengi zaidi kuliko wanawake kwa wastani wa watoto wa kiume 105 kwa kila watoto 100 wa kike wanaozaliwa.
 
Hakuna kitu kama hicho mana uzao wa jamii ya wanawake ni wengi kuliko wanaume, na kama unabisha fanya tathmini alafu uone utakuja kutwambia. Ila sio usemi nikiwa na wake wawili ety kunawatu wanakosa wake, hakuna kitu kama hicho.
 
Katika uzazi, watoto wa kiume 105 wanazaliwa kwa kila watoto wa kike 100. Katika uzazi watoto wa kiume wanazaliwa wengi zaidi kuliko wa kike.
 
Mbona kama wanaume ndio hakuna? sisi wengine tushakua masingle sugu.
Wanaume wapo, ila wamezidiwa...halafu ili usavaiv lazima upambane. Ukiona mwanaume unayempenda usisubiri akuanze, mianze wewe. Anzia hapa jf madam😅😅 duniani ni kunyang'anyana
 
Nature ina balance, wanaume wanazaliwa wengi zaidi kuliko wanawake kwa wastani wa watoto wa kiume 105 kwa kila watoto 100 wa kike wanaozaliwa.
Nilikuwa najaribu kupitia kidogo, pamoja na wanaume wengi kuzaliwa, ila wanakufa mapema sana kuliko wanawake. Ni nchi chache sana zina wanaume wengi kuliko wanawake. Kuna nchi kama Russia, wanawake wapo 10m zaidi ya wanaume. Imagine wanawake zaidi ya milioni kumi, kumbuka nchi kama Russia hata hao wanaume waliopo active sio wapenzi wa ngono pia, so inawezekana zaidi ya wanawake 20m hawana wanaume wa kuwaweka.

Kuna nchi zina hadi 60 to 40 female to male ratio.
 
Tuzungumzie Tanzania mkuu ambayo haiko vitani na ambayo wanaume wake wanazidiwa idadi na wanawake kwenda uarabuni kufanya kazi.
 
Usijisahaulishe pia kuwa:
*Kuna wanawake ambao bado ni watoto.
*Kuna wanawake ambao waneshazeeka.
*Kuna wanawake lesbians.
Hata two percent ya wanaume wote duniani wakiwa na wake wawili inaharibu kabisa balance.
 
Hii hali huwa inanishangaza kwq India idadi ya wanaume kuwa wengi kuliko wanawake huenda ndiyo inayosababisha gang rape kwa wingi.
 
Tuzungumzie Tanzania mkuu ambayo haiko vitani na ambayo wanaume wake wanazidiwa idadi na wanawake kwenda uarabuni kufanya kazi.
Tanzania ipo kwenye kundi la nchi ambazo watu wake uwiano wa jinsi ni almost equal.
 
Unasema sukari haifanyi nini???
Hebu soma tena uliposoma!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…