TUnazungumzia me na ke kufanya mapenzi, au me kupungukiwa uwezo wa kufanya mapenzi sababu ya kisukari?Uliambiwa wanaume na wanawake wenye kisukari hawafanyi mapenzi??
Tatizo linakuja kwenye kuanzisha familia, mwanaume hawezi kuanzisha familia na mke au mpenzi wa mwanaume mwingine bila kuachana.Uzuri wanawake wenyewe hawana hiyana.
Anaweza akamilikiwa na mwanaume anaemiliki wanawake 5 na yeye akamiliki wanaume wake 5.
Kila mmoja ataburudika kwa wakati wake kwa kadri ya pochi lake linavyomruhusu.
Uliem save ',mke wangu' kwenye simu, kuna njemba kam save 'Mwajuma Kikundu'.
Chief, unaishi dunia gani wewe. Tembea uyaone.Tatizo linakuja kwenye kuanzisha familia, mwanaume hawezi kuanzisha familia na mke au mpenzi wa mwanaume mwingine bila kuachana.
Inategemea hiyo sukari ipo level gani, kuna wenye sukari hata kusimamisha mara moja kwa mwezi hawawezi.Uliambiwa wanaume na wanawake wenye kisukari hawafanyi mapenzi??
Sawa sawa... kawaulize wadada wanaokutana na wazee wa kimoja chali(cha jogoo), ama moto unakatikia njiani.. utapata majibu mazuri kuhusu uanaume.. na je mwanaume wa hivyo anaweza dumu nae kwenye mahusiano pasina kuhitajI Mti wa pili?Kupungukiwa uwezo wa kufanya mapenzi sio kuondolewa na uanaume au uanamke wako.