D
Deleted member 485868
Guest
Wanaume wa dar lenu hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto wa kiume lazima unukie kibeberu beberu weweSisemi vibaya ila kiukweli niliyoyaona leo yamenitisha baadhi ya wanaume wa dar wananuka harufu mbaya za majasho.
Nimeshuka zangu airport nikasema nipande daladala kwenda kwa Raynavero Sinza kupiga porojo jamani uwii yani nikiwasogelea wakaka wa Dar uwii wananuka majasho hatari.
Mhg hata sjui sababu ni nn?
Hapa nimefika Msata napiga chafya rohoo karibia itoke sababu ya harufu za uvundo za wanaume wa Dar.
Mrs Mshana.
Demiss.
Nyongeza: Nimekuja kwenye zindiko karibuni sana wanajf.
Wewe wa kiberege bila shaka.Mie wa ifakara ,mang'ula acha nigune tu
Hahaha, nawe wa huko ?Wewe wa kiberege bila shaka.
Hahaha unahisi uongo?Hahah ya kweli hayo
mkoa ganiiiMm mwenyewe wa mkoani mbn hatuna hizo harufu
HahajHahaha, nawe wa huko ?
[emoji16] [emoji16]Nimependa avatar
Hio ni six figure au namba nane ?[emoji16] [emoji16]