Baadhi ya wanaume wa Dar wananuka vikwapa!

Baadhi ya wanaume wa Dar wananuka vikwapa!

Sisemi vibaya ila kiukweli niliyoyaona leo yamenitisha baadhi ya wanaume wa dar wananuka harufu mbaya za majasho.

Nimeshuka zangu airport nikasema nipande daladala kwenda kwa Raynavero Sinza kupiga porojo jamani uwii yani nikiwasogelea wakaka wa Dar uwii wananuka majasho hatari.


Mhg hata sjui sababu ni nn?

Hapa nimefika Msata napiga chafya rohoo karibia itoke sababu ya harufu za uvundo za wanaume wa Dar.

Mrs Mshana.
Demiss.


Nyongeza: Nimekuja kwenye zindiko karibuni sana wanajf.
Mtoto wa kiume lazima unukie kibeberu beberu wewe
 
Wifii Demiss sio vikwapa tu...boxa yani akikusimamia kwa daladala unatamani umpishe akae wewe usimame....
Ni shidaaa...
Hahaha nimeshangaa sana nimezoea Dodoma ukiingia kwa Matatu watu wanaharufu nzuri sana
 
Back
Top Bottom