Baadhi ya Wanaume wa miaka hii wamekuwa walaini sana sijui huko mbeleni tutakuwa na kizazi cha aina gani

Asili ya mwanaume ni mtu mkakamavu kwa lugha ya mtaani mtu mgumu

Kawaida ya mwanaume hata uchezaji wake lazima uwe wa tofauti na wa kike lakini miaka ya sasa baadhi ya wanaume wamekuwa walaini sana kama dada zao inasikitisha sana

Malezi kwa watoto wa kiume yameporomoka sana

Baadhi ya vijana wa kiume wakicheza Taarabu ya vidole juu
Kizazi Cha mashoga na watumia erector
 
Wanakula chips za viazi vya kisasa, wanakula ugali wa mahindi ya mwendokasi, wanakula mayai ya kuku wa mwendokasi, wanakunywa maziwa ya Ng'ombe wa mwendokasi, wanakunywa vinywaji vya kiwandani nk. Kila kitu ni cha mwendokasi kwa hiyo zaidi ya 78% ya mwili na viungo vyake ni ubatili mtupu.
 
Shida ni Malezi toka ngazi ya family aisee tumezidi kuendekeza na kudekeza watoto.
Hivi kweli kwenye mji wako una vijana wa darasa la saba na kuendelea house girl na house boy wa kazi gani.
Watoto tunawalemaza unakuta kijana ndani ya nyumba hafui, hafanyi usafi chumbani kwake wala mazingira ya nyumbani na wazazi tunarelax na kuona ndio mtindo bora wamaisha.
Sio siri tunatengeneza mabomu.
Kweli aisee
 
? !
1000052559.jpg
 
Na mziki yenu ya sasa
Ona hapo wsng kibaoo wamejaa
Poleni sana wenye watoto kwa sasa huku bongo
Vijana wnflkaaaa sanaa sahv
Kqa tamaa zao kutaka maisha fulani
Hapo wamejaaa wsnggg top

Ova
 
Baadhi ya Wanaume wa miaka hii wamekuwa walaini sana sijui huko mbeleni tutakuwa na kizazi cha aina gani

Asili ya mwanaume ni mtu mkakamavu kwa lugha ya mtaani mtu mgumu

Kawaida ya mwanaume hata uchezaji wake lazima uwe wa tofauti na wa kike lakini miaka ya sasa baadhi ya wanaume wamekuwa walaini sana kama dada zao inasikitisha sana

Malezi kwa watoto wa kiume yameporomoka sana

Baadhi ya vijana wa kiume wakicheza Taarabu ya vidole juu
1: watoto wanalelewa na either single parent na hasa mama peke yao or yaya hapa hakuna malezi bali kuangalia asiharibu or kutoroka home but kitabia hakuna kitu.
2: Vyakula vya haraka haraka aka chips and irojo hapa ndio kuna janga kubwa sana huwezi kua na nguvu Kwa kula wanga na mafuta peke yake tena vyakukaanga yaani hawezi kua mkakamavu kamwe.
3: Ushoga ni janga lingine kwani wakiume wamegeuka wakike ndio maana dada/wamama wengi wapo single and hawafikishwi kabisa
4: hawataki kufanya kazi ngumu or hata mazoezi tu ya kutembea yaani boda/bajaji/ vijana hawataki shida unaina hata wasanii wakienda kwenye show hawawezi imba live kwakua hawana mazoezi ya pumzi ya kutosha
 
Back
Top Bottom