Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtoto kautaka......Huyo mdada kuna kitu anakitaka, MPENI CHAP
Hiyo inaitwa kupatwa kwa juaInshu iko hivi:
KUNA MWANANGU MMOJA KAPANGA CHUMBA KAWAIDA TU KAMA WATU WENGINE WANAVOPANGA
SASA KUNA DADA MMOJA HUYO NI MPANGAJI MWENZIE ILA CHUMBA CHA MBALI
AMEKUWA NA TABIA YA KUFUA CHUPI KIBAO HALAFU ANAKUJA KUANIKA KATIKA KAMBA ILIYO MBELE YA MLANGO WA MSHIKAJI
SASA LEO MWANA KAFUA BOKSA ZAKE MBILI AKAAZIANIKA
UNAAMBIWA YULE DADA KAFUA CHUPI ZAKE KAMA KAWA KAENDA KUWEKA JUU YA BOKSA ZA MSHIKAJI😀
Je hii kitaalam tunaiitaje au nini ungependa kumshauri?
Binafsi nimemshauri wakati wa kuzianua boksa zake basi aanue na chupi za bidada aweke geto ili aone kama dada ataenda kumuuliza
Ieleweke kwanza dada mume hana japo msela hajui kazi ya bidada🙏🏻🙏🏻
Itakua location hiyo chupi zake zinakauka haraka...