Baadhi ya Wanawake badilikeni kwenye utaratibu wa kuanika nguo za ndani (Chupi) maeneo ya wazi

Baadhi ya Wanawake badilikeni kwenye utaratibu wa kuanika nguo za ndani (Chupi) maeneo ya wazi

Inshu iko hivi:
KUNA MWANANGU MMOJA KAPANGA CHUMBA KAWAIDA TU KAMA WATU WENGINE WANAVOPANGA

SASA KUNA DADA MMOJA HUYO NI MPANGAJI MWENZIE ILA CHUMBA CHA MBALI

AMEKUWA NA TABIA YA KUFUA CHUPI KIBAO HALAFU ANAKUJA KUANIKA KATIKA KAMBA ILIYO MBELE YA MLANGO WA MSHIKAJI

SASA LEO MWANA KAFUA BOKSA ZAKE MBILI AKAAZIANIKA

UNAAMBIWA YULE DADA KAFUA CHUPI ZAKE KAMA KAWA KAENDA KUWEKA JUU YA BOKSA ZA MSHIKAJI😀

Je hii kitaalam tunaiitaje au nini ungependa kumshauri?

Binafsi nimemshauri wakati wa kuzianua boksa zake basi aanue na chupi za bidada aweke geto ili aone kama dada ataenda kumuuliza

Ieleweke kwanza dada mume hana japo msela hajui kazi ya bidada🙏🏻🙏🏻
Hiyo inaitwa kupatwa kwa jua
 
Ingekua mimi ni huyo mshikaji wako leo ungeandika story ingine hapa, Maana kwa haraka haraka huyo demu angeku ashaliwa zaidi ya mara tatu hivi
 
Back
Top Bottom