Full charge
JF-Expert Member
- Mar 1, 2018
- 1,678
- 1,617
Inshu iko hivi:
Kuna mwanangu mmoja kapanga chumba kawaida tu kama watu wengine wanavopanga
Sasa kuna dada mmoja huyo ni mpangaji mwenzie ila chumba cha mbali
Amekuwa na tabia ya kufua chupi kibao halafu anakuja kuanika katika kamba iliyo mbele ya mlango wa mshikaji
Sasa leo mwana kafua boksa zake mbili akaazianika
Unaambiwa yule dada kafua chupi zake kama kawa kaenda kuweka juu ya boksa za mshikaji😀
Je hii kitaalam tunaiitaje au nini ungependa kumshauri?
Binafsi nimemshauri wakati wa kuzianua boksa zake basi aanue na chupi za bidada aweke geto ili aone kama dada ataenda kumuuliza
Ieleweke kwanza dada mume hana japo msela hajui kazi ya bidada🙏🏻🙏🏻