Baadhi ya wanawake kuvaa nguo zinazoonesha maungio yao kwenye nyumba za ibada tatizo ni nini?

Fata kilichokupeleka

Masanamu yenyewe kutani mule mbona yako uchi

Kariakoo humo yamevalisha nguo
 
Mkuu ni ongezeko la Malaya wasio rasmi ndio sababu jiulize tu hata kwenye gym za mazoezi huwaoni mavazi yao lazima wavae nguo zinazochora maungo yao jiulize Tena mbona zipo track suit nzuri wanaweza wakavaa na mazoezi yakafanyika kifupi ni Malaya kuongezeka
 
haka kahabari kakepambwa na picha weekend ingeanza vzr
 
Ukisoma kitabu cha wagalatia kwa msaada wa Roho mtakatifu. Utapata majibu mengi juu ya hili.

Hapa utapata mitazamo mingi ambayo kwa sehemu kubwa inaweza kukuchanganya zaidi.

Unafikiri kwanini Yesu kristo baadhi ya viongozi wa dini walimuona muhuni tu.?
 
Mkuu,
Bila picha Uzi unakua haujautendea haki 😊
 
Catholic siku hizi wamebanwa,akienda mwanamke na nguo yake fupi sijui anaonyesha mabega au nguo imem'bana sana getini anakabidhiwa khanga kukuu kuu au mgololi wa kimasai ajisitiri.

Wiki inayofuata haji hivyo na hii imesaidia sana.
Kuna mmoja alitaka kumletea hizi pigo rafiki yangu weee aliimuwashia moto 🤣🤣 mbona alimuacha na nguo yake haikuwa imebana au fupi kihivyo. Saa ingine wanakwaza pia.
 
Kwani wewe umeenda ibadani kumuomba Mungu au umeenda kutizama mavazi ya watu wanavaaje? Kila mtu ataubeba mzigo wake, wewe endekeza tamaa zako huyo mvaa nusu uchi hujui lini Mungu atamtembelea na akaokoka halafu wewe utakuwa umechelewa.

Fuata yako na MUNGU wako, wewe umekamilika?
 
Catholic siku hizi wamebanwa,akienda mwanamke na nguo yake fupi sijui anaonyesha mabega au nguo imem'bana sana getini anakabidhiwa khanga kukuu kuu au mgololi wa kimasai ajisitiri.

Wiki inayofuata haji hivyo na hii imesaidia sana.
Hapo kwenye mavazi sawa, ila mambo ya gizani kama kawaida
 
Wenyewe Wanasema MUNGU haangaalii mavazi anaangalia MOYO.
Tatizo ni kusumbua wengine - kuwatoa kwenye SGR, wala sio suala la Mungu. Sasa kwa muonekano huo ile amri ya Mungu ya tisa inabaki salama kweli hapo?
 
Mkuu
Hii thread bila picha ni kutukosea sana
 
Acha tamaa na umbea
 
Nyie mnaotetea hili kwa wanawake kwenda nusu uchi ujue hawa dada zao au wake zao wanatabia hiyo, sisi watz tunatabia moja, ya kufosi ushabiki, hata jambo liko kinyume ya sheria, kisa wengine kuogopa aibu, walichonacho, ukristo waulaya, hii tabia hawana, yakwenda nusu uchi.
 
 
Adam na Hawa walikuwa uchi wala hawakuona haya, kuona haya ni matokeo ya dhambi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…