kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Fata kilichokupeleka
Masanamu yenyewe kutani mule mbona yako uchi
Kariakoo humo yamevalisha nguo

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haka kahabari kakepambwa na picha weekend ingeanza vzrLeo katika nipo kanisani kuenda kumuomba Mwenyezi Mungu ila nimekutana na hali ambayo imenifanya niwaze Sana bila kupata majibu.
Ni hivi Moja ya mmama ambaye ni wale wanaovaa badge Kama wahudumu wa kanisa, endapo mtu kalipuka Pepo basi wao wanatoa msaada wa kumchukua na kumpeleka mbele ili kuombewa ( kwa watu wenye Imani Kama yangu najua mmenipata hapa).
Huyu mama (kimwonekano ni mtu mzima), kavaa gauni zuri TU la kujistiri ila tatizo linaonyesha ndani MPAKA unaona chupi wazi wazi, Sasa nimeshindwa kuelewa hajui au ameamua kufanya maksudi?
Alafu pia alikuwa anapeleka hai wenye mapepo MPAKA mbele ambapo mtumishi yupo anahubiri Sasa nashindwa kuelewa, mtumishi wakiume kweli kwa Hali hiyo haiwezi mtamani? Maana ni mashaalah kiujumla
Binafsi nikiri Ibada ya Leo nilishindwa kabisa ku concentrate kutokana majaribio haya, nikaamua kusepa kabla hata ya Ibada kuisha maana niliona najichora TU.
Tukio lingine, Kuna mtumishi wa Mungu mkubwa alikuja wiki iliyopita kwenye huu mkoa niliopo anatokea dsm, Sasa na Mimi nikasema Acha niende nikamuombe Mungu wangu.
Sasa katika ile Hali ya kugombania usafiri (daladala) Kuna huyo msichana alikuwa kavaa nusu uchi (kimini kwenye mapaja kabisa), yaani mfano akiinama kila kitu nje nje, na yeye alikuwa anaelekea huko huko.
Ilikuwa aibu Sana kwa sababu mpk wafanyabiashara wa pale stendi walimzomea na kujiuliza ni maombi gani msichana Kama huyu anaenda na mavazi hayo?
Kiukweli niliwaza Sana tukio Hilo, ikabidi niende TU maana tayari nilishapoteza muda na gharama.
Ila Sasa Toka tukio Hilo nikijumlisha na hili nashindwa kuelewa ndio Dunia imekwisha au shida Iko wapi wakuu?
Nawasilisha.
Ukisoma kitabu cha wagalatia kwa msaada wa Roho mtakatifu. Utapata majibu mengi juu ya hili.Leo katika nipo kanisani kuenda kumuomba Mwenyezi Mungu ila nimekutana na hali ambayo imenifanya niwaze Sana bila kupata majibu.
Ni hivi Moja ya mmama ambaye ni wale wanaovaa badge Kama wahudumu wa kanisa, endapo mtu kalipuka Pepo basi wao wanatoa msaada wa kumchukua na kumpeleka mbele ili kuombewa ( kwa watu wenye Imani Kama yangu najua mmenipata hapa).
Huyu mama (kimwonekano ni mtu mzima), kavaa gauni zuri TU la kujistiri ila tatizo linaonyesha ndani MPAKA unaona chupi wazi wazi, Sasa nimeshindwa kuelewa hajui au ameamua kufanya maksudi?
Alafu pia alikuwa anapeleka hai wenye mapepo MPAKA mbele ambapo mtumishi yupo anahubiri Sasa nashindwa kuelewa, mtumishi wakiume kweli kwa Hali hiyo haiwezi mtamani? Maana ni mashaalah kiujumla
Binafsi nikiri Ibada ya Leo nilishindwa kabisa ku concentrate kutokana majaribio haya, nikaamua kusepa kabla hata ya Ibada kuisha maana niliona najichora TU.
Tukio lingine, Kuna mtumishi wa Mungu mkubwa alikuja wiki iliyopita kwenye huu mkoa niliopo anatokea dsm, Sasa na Mimi nikasema Acha niende nikamuombe Mungu wangu.
Sasa katika ile Hali ya kugombania usafiri (daladala) Kuna huyo msichana alikuwa kavaa nusu uchi (kimini kwenye mapaja kabisa), yaani mfano akiinama kila kitu nje nje, na yeye alikuwa anaelekea huko huko.
Ilikuwa aibu Sana kwa sababu mpk wafanyabiashara wa pale stendi walimzomea na kujiuliza ni maombi gani msichana Kama huyu anaenda na mavazi hayo?
Kiukweli niliwaza Sana tukio Hilo, ikabidi niende TU maana tayari nilishapoteza muda na gharama.
Ila Sasa Toka tukio Hilo nikijumlisha na hili nashindwa kuelewa ndio Dunia imekwisha au shida Iko wapi wakuu?
Nawasilisha.
Mkuu,Leo katika nipo kanisani kuenda kumuomba Mwenyezi Mungu ila nimekutana na hali ambayo imenifanya niwaze Sana bila kupata majibu.

Kuna mmoja alitaka kumletea hizi pigo rafiki yangu weee aliimuwashia moto 🤣🤣 mbona alimuacha na nguo yake haikuwa imebana au fupi kihivyo. Saa ingine wanakwaza pia.Catholic siku hizi wamebanwa,akienda mwanamke na nguo yake fupi sijui anaonyesha mabega au nguo imem'bana sana getini anakabidhiwa khanga kukuu kuu au mgololi wa kimasai ajisitiri.
Wiki inayofuata haji hivyo na hii imesaidia sana.
Hapo kwenye mavazi sawa, ila mambo ya gizani kama kawaidaCatholic siku hizi wamebanwa,akienda mwanamke na nguo yake fupi sijui anaonyesha mabega au nguo imem'bana sana getini anakabidhiwa khanga kukuu kuu au mgololi wa kimasai ajisitiri.
Wiki inayofuata haji hivyo na hii imesaidia sana.
Sina mamlaka ya kuwasemea wengine,kama kuna anaefanya mambo ya gizani au hata kama ni wewe utajua mwenyewe.Hapo kwenye mavazi sawa, ila mambo ya gizani kama kawaida
Tatizo ni kusumbua wengine - kuwatoa kwenye SGR, wala sio suala la Mungu. Sasa kwa muonekano huo ile amri ya Mungu ya tisa inabaki salama kweli hapo?Wenyewe Wanasema MUNGU haangaalii mavazi anaangalia MOYO.
MkuuLeo katika nipo kanisani kuenda kumuomba Mwenyezi Mungu ila nimekutana na hali ambayo imenifanya niwaze Sana bila kupata majibu.
Ni hivi Moja ya mmama ambaye ni wale wanaovaa badge Kama wahudumu wa kanisa, endapo mtu kalipuka Pepo basi wao wanatoa msaada wa kumchukua na kumpeleka mbele ili kuombewa ( kwa watu wenye Imani Kama yangu najua mmenipata hapa).
Huyu mama (kimwonekano ni mtu mzima), kavaa gauni zuri TU la kujistiri ila tatizo linaonyesha ndani MPAKA unaona chupi wazi wazi, Sasa nimeshindwa kuelewa hajui au ameamua kufanya maksudi?
Alafu pia alikuwa anapeleka hai wenye mapepo MPAKA mbele ambapo mtumishi yupo anahubiri Sasa nashindwa kuelewa, mtumishi wakiume kweli kwa Hali hiyo haiwezi mtamani? Maana ni mashaalah kiujumla
Binafsi nikiri Ibada ya Leo nilishindwa kabisa ku concentrate kutokana majaribio haya, nikaamua kusepa kabla hata ya Ibada kuisha maana niliona najichora TU.
Tukio lingine, Kuna mtumishi wa Mungu mkubwa alikuja wiki iliyopita kwenye huu mkoa niliopo anatokea dsm, Sasa na Mimi nikasema Acha niende nikamuombe Mungu wangu.
Sasa katika ile Hali ya kugombania usafiri (daladala) Kuna huyo msichana alikuwa kavaa nusu uchi (kimini kwenye mapaja kabisa), yaani mfano akiinama kila kitu nje nje, na yeye alikuwa anaelekea huko huko.
Ilikuwa aibu Sana kwa sababu mpk wafanyabiashara wa pale stendi walimzomea na kujiuliza ni maombi gani msichana Kama huyu anaenda na mavazi hayo?
Kiukweli niliwaza Sana tukio Hilo, ikabidi niende TU maana tayari nilishapoteza muda na gharama.
Ila Sasa Toka tukio Hilo nikijumlisha na hili nashindwa kuelewa ndio Dunia imekwisha au shida Iko wapi wakuu?
Nawasilisha.
Ha ha ha mafarisayo na masadukayoSina mamlaka ya kuwasemea wengine,kama kuna anaefanya mambo ya gizani au hata kama ni wewe utajua mwenyewe.
Acha tamaa na umbeaLeo katika nipo kanisani kuenda kumuomba Mwenyezi Mungu ila nimekutana na hali ambayo imenifanya niwaze Sana bila kupata majibu.
Ni hivi Moja ya mmama ambaye ni wale wanaovaa badge Kama wahudumu wa kanisa, endapo mtu kalipuka Pepo basi wao wanatoa msaada wa kumchukua na kumpeleka mbele ili kuombewa ( kwa watu wenye Imani Kama yangu najua mmenipata hapa).
Huyu mama (kimwonekano ni mtu mzima), kavaa gauni zuri TU la kujistiri ila tatizo linaonyesha ndani MPAKA unaona chupi wazi wazi, Sasa nimeshindwa kuelewa hajui au ameamua kufanya maksudi?
Alafu pia alikuwa anapeleka hai wenye mapepo MPAKA mbele ambapo mtumishi yupo anahubiri Sasa nashindwa kuelewa, mtumishi wakiume kweli kwa Hali hiyo haiwezi mtamani? Maana ni mashaalah kiujumla
Binafsi nikiri Ibada ya Leo nilishindwa kabisa ku concentrate kutokana majaribio haya, nikaamua kusepa kabla hata ya Ibada kuisha maana niliona najichora TU.
Tukio lingine, Kuna mtumishi wa Mungu mkubwa alikuja wiki iliyopita kwenye huu mkoa niliopo anatokea dsm, Sasa na Mimi nikasema Acha niende nikamuombe Mungu wangu.
Sasa katika ile Hali ya kugombania usafiri (daladala) Kuna huyo msichana alikuwa kavaa nusu uchi (kimini kwenye mapaja kabisa), yaani mfano akiinama kila kitu nje nje, na yeye alikuwa anaelekea huko huko.
Ilikuwa aibu Sana kwa sababu mpk wafanyabiashara wa pale stendi walimzomea na kujiuliza ni maombi gani msichana Kama huyu anaenda na mavazi hayo?
Kiukweli niliwaza Sana tukio Hilo, ikabidi niende TU maana tayari nilishapoteza muda na gharama.
Ila Sasa Toka tukio Hilo nikijumlisha na hili nashindwa kuelewa ndio Dunia imekwisha au shida Iko wapi wakuu?
Nawasilisha.
We kuwezaAcha tamaa na umbea
🥂NAKAZIA HAPA...
Let people live the way they want while you focus on your own grind..
Nyie mnaotetea hili kwa wanawake kwenda nusu uchi ujue hawa dada zao au wake zao wanatabia hiyo, sisi watz tunatabia moja, ya kufosi ushabiki, hata jambo liko kinyume ya sheria, kisa wengine kuogopa aibu, walichonacho, ukristo waulaya, hii tabia hawana, yakwenda nusu uchi.Kwani wewe umeenda ibadani kumuomba Mungu au umeenda kutizama mavazi ya watu wanavaaje? Kila mtu ataubeba mzigo wake, wewe endekeza tamaa zako huyo mvaa nusu uchi hujui lini Mungu atamtembelea na akaokoka halafu wewe utakuwa umechelewa.
Fuata yako na MUNGU wako, wewe umekamilika?
Hapo umeongea ukweli kabisa, kuna Mchungaji mmoja akiwambia watu wake kuwa hataki injili ya za jazba, mwache atabadilika mwenyewe Kwa kadri anavyopata mafundisho ya neno, mwingine anakuja na mizgo yake kichwani ukimlazimisha unampoteza, chakushangaza asili waafrika tulikuwa hatuvai nguo zakuficha mwili ila kwasasa utazani wao ndiyo wazungu sasa, jiulize eti mtu kaacha mabega wazi anarudishwa nje asiingie ibada duu
Adam na Hawa walikuwa uchi wala hawakuona haya, kuona haya ni matokeo ya dhambiLeo katika nipo kanisani kuenda kumuomba Mwenyezi Mungu ila nimekutana na hali ambayo imenifanya niwaze Sana bila kupata majibu.