tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 11,931
- 15,849
Hivi hawa wanawake zetu huwa hata wanatuonea huruma kweli jinsi tunavyowahangaikia wao waishi vizuri? Huwa sina kawaida ya kushika simu yake ila sijui nini usiku huu kimenituma niishike na kuikagua. Na hiki ndicho nilichokikuta.
Sijamsemesha chochote mpaka sasa niko macho tu natafakari. Alikuwa anachat na ex wake hapo, kuna mengi nimeyaona kwenye chatting zao lkn hili limenishangaza.
Naomba mnipe busara zenu ebu.
Sijamsemesha chochote mpaka sasa niko macho tu natafakari. Alikuwa anachat na ex wake hapo, kuna mengi nimeyaona kwenye chatting zao lkn hili limenishangaza.
Naomba mnipe busara zenu ebu.