Baadhi ya wanawake wana mambo ya ovyo. Ebu mnishauri cha kufanya hapa kabla sijaushangaza ulimwengu

Hivi hawa wanawake zetu huwa hata wanatuonea huruma kweli jinsi tunavyowahangaikia wao waishi vizuri?
Huwa sina kawaida ya kushika simu yake ila sijui nini usiku huu kimenituma niishike na kuikagua.
Na hiki ndicho nilichokikuta.

Sijamsemesha chochote mpaka sasa niko macho tu natafakari.alikua anachat na ex wake hapo,kuna mengi nimeyaona kwenye chatting zao lkn hili limenishangaza.

Naomba mnipe busara zenu ebu
Hao wameshakulana tu bila hata kuhoji.
 
Yani unamshauri apate timu ya mpira ya watoto wa nje kama wewe?
Si unaona huyu anateseka na mwanamke mmoja; ingekuwa ni mimi, ningeenda kwa michepuko yangu niliozaa nao ili kupunguza hasira

leo3.jpg
 
Hivi hawa wanawake zetu huwa hata wanatuonea huruma kweli jinsi tunavyowahangaikia wao waishi vizuri?
Huwa sina kawaida ya kushika simu yake ila sijui nini usiku huu kimenituma niishike na kuikagua.
Na hiki ndicho nilichokikuta.

Sijamsemesha chochote mpaka sasa niko macho tu natafakari.alikua anachat na ex wake hapo,kuna mengi nimeyaona kwenye chatting zao lkn hili limenishangaza.

Naomba mnipe busara zenu ebu
Aiseeeee Una Ndugu na Watoto (kama unao) wanaokutegemea na kukupenda kwa dhati. Nakusihi Sana puuzia kufanya Jambo Lolote lile Baya.
 
Back
Top Bottom