Baadhi ya wanawake wana mambo ya ovyo. Ebu mnishauri cha kufanya hapa kabla sijaushangaza ulimwengu

Baadhi ya wanawake wana mambo ya ovyo. Ebu mnishauri cha kufanya hapa kabla sijaushangaza ulimwengu

Yaani sijui kwa nini sasa hivi umalaya umekuwa fashen mpya kwenye ndoa.

Na usishangae huyo mke wako kabla ya kuolewa na ww alizunguka kwa kila aina ya waganga akitafuta ndoa.

Kiufupi maamuzi yako kwenye mikono yako mkuu ,lakini kama ningekuwa mimi ningetulia mpaka asubuhi kukakucha ,alafu namuonesha hiyo meseji alafu namuambia kuwa nikirudi jioni nisikukute ndani kwangu.

Ila mkuu usifanye maamuzi yeyote yatakayo kuathiri ww bali unatakiwa kufanya maamuzi yakatayo ufanya huyo mkeo ajutie alicho kifanya.
Ni hatar sana
 
Kwa nilivyoelewa hio sms ni kwamba mke alimtolea nje EX wake kipindi ndoa yenu ikiwa changa, ila kwa sasa sijajua kama ndio ameanza kumpa mbunye au la. Mwendelezo wa chat ndio utaonesha kwamba kashaliwa au bado. Ungetuma zote ili tukupe tafsiri halisi.
CIA😂😂
 
Inaonekana mkuu ulipendwa sababu ya kutimiza mahitaji kwa mwanamke, ni heri ungetafuta binti young and fresh.

Zemanda Natafuta Ajira Xi Jinping ngara23
Umesema vyema manzi anamwelewa sana ex wake

Ukweli mchungu ni kuwa wanawake wengi wameolewa na wanaume wasiowapenda ni vile tu huyu mwanaume aliyemuoa alikuwa ready na available tofauti na aliyemwelewa zaidi

Huyu wa kwanza (ex) lazima akukanyagie sana mkeo na hauna ubavu wa kukatiza upendo wa mke wako kwake.

Meseji au simu moja tu ya ex inatosha kumfanya mkeo ampelekee mbunye

The more reason a man should settle for a young, virgin and feminine woman

Learn Or Perish
 
Hivi hawa wanawake zetu huwa hata wanatuonea huruma kweli jinsi tunavyowahangaikia wao waishi vizuri? Huwa sina kawaida ya kushika simu yake ila sijui nini usiku huu kimenituma niishike na kuikagua. Na hiki ndicho nilichokikuta.

Sijamsemesha chochote mpaka sasa niko macho tu natafakari. Alikuwa anachat na ex wake hapo, kuna mengi nimeyaona kwenye chatting zao lkn hili limenishangaza.

Naomba mnipe busara zenu ebu.

View attachment 3226517View attachment 3226518View attachment 3226519

Ni LAZIMA na busara. Kuichunguza na kuifuatilia simu ya mke wako kama unavyoifuatikia simu au kitu chochote Cha mtoto wako, hutaki kuelewa subir litakukuta jambo.
 
Umesema vyema manzi anamwelewa sana ex wake

Ukweli mchungu ni kuwa wanawake wengi wameolewa na wanaume wasiowapenda ni vile tu huyu mwanaume wa pili alikuwa ready na available kumuoa tofauti na aliyemwelewa zaidi

Huyu wa kwanza (ex) lazima akukanyagie sana mkeo na hauna ubavu wa kukatiza upendo wa mke wako kwake.

Meseji au simu moja tu ya ex inatosha kumfanya mkeo ampelekee mbunye

The more reason a man should settle for a young, virgin and feminine woman
It's true ni ukweli mchungu na nilichogundua wanaumewengi hawajui wakezao vizuri na Kwa ufupi wanaume hawatujui wanawake Bado hawajatujua
 
Tupe ,tekniki namna ya kuanzisha familia ,n kuchukua demu kuzalsha ,na kulea mtoto alafu no ndoa au vp bro?ushauri
Ni suala gumu kulikwepa kwa sababu lipo kimfumo. Tayari mfumo umeshasukwa kumpa upendeleo mwanamke kwaiyo ni mwanamke tu mwenyewe aamue kukuchezea fair au brutal.

Kitakacho determine mwanaume kubaki salama ni pale kwenye kufanya vetting ya mwanamke wa ku-settle nae. Vet women ruthless, don't overlook her past, ask hard questions, don't ignore red flags
 
Umesema vyema manzi anamwelewa sana ex wake

Ukweli mchungu ni kuwa wanawake wengi wameolewa na wanaume wasiowapenda ni vile tu huyu mwanaume aliyemuoa alikuwa ready na available tofauti na aliyemwelewa zaidi

Huyu wa kwanza (ex) lazima akukanyagie sana mkeo na hauna ubavu wa kukatiza upendo wa mke wako kwake.

Meseji au simu moja tu ya ex inatosha kumfanya mkeo ampelekee mbunye

The more reason a man should settle for a young, virgin and feminine woman

Learn Or Perish
Ha ha ha sema jamaa una maneno ya kukera sana.
 
Hivi hawa wanawake zetu huwa hata wanatuonea huruma kweli jinsi tunavyowahangaikia wao waishi vizuri? Huwa sina kawaida ya kushika simu yake ila sijui nini usiku huu kimenituma niishike na kuikagua. Na hiki ndicho nilichokikuta.

Sijamsemesha chochote mpaka sasa niko macho tu natafakari. Alikuwa anachat na ex wake hapo, kuna mengi nimeyaona kwenye chatting zao lkn hili limenishangaza.

Naomba mnipe busara zenu ebu.

View attachment 3226517View attachment 3226518View attachment 3226519

Mbona hivyo ni vitu vya kawaida hebu mezea bro
 
Vipi kuhusu wewe kufungua zipu yako ovyo? Ukileta magonjwa hapa ngoma droo unafungua zipu uko kwingine na mimi navua uku tena na rafiki yako
Hii ndebile ya kujiuza waziwazi imetokea wapi tena jamani, wewe mama muuza ebu twende taratibu mwanamke sifa yake kuu simile.
 
It's true ni ukweli mchungu na nilichogundua wanaumewengi hawajui wakezao vizuri na Kwa ufupi wanaume hawatujui wanawake Bado hawajatujua
Uko sawa. Pia hata wanaume wako hivyo anaweza akawa na mwanamke kwa sababu fulani ila down moyo upo kwa mwanamke mwengine, sometime kinachotushinda tunadakwa mapema sababu ya kujisahau. Huyo asingeshika simu ya mke mpaka leo asingejua nini kinaendelea BUT It goes both ways, ukidakwa ndo kwisha habari kama ulikuwa mtiifu unakuwa Kimbunga cha hatari ikiwezekana bila aibu sababu ya maumivu 😅, kuna mfano mtamu sana ninao 🤣🤣
 
Tupe ,tekniki namna ya kuanzisha familia ,n kuchukua demu kuzalsha ,na kulea mtoto alafu no ndoa au vp bro?ushauri
Mbona tushatoa sana humu mkuu?
Mimi nimeishi hivyo for past ten years!!
Na sasa niko na wa pili mfumo ni ule ule tu..
Mpaka pale watakapououtclass ndipo nitabadilisha..
 
😄😄Alafu nilikuwa naongea na mtu kuhusu hiki kitu ni umri hajanizid sana but aliolewa mapema pia akasema alichoona wakat wa uchumba sio ambacho kipo sasahiv hata romance hajui Ilikuwa lini na mume alivokuwzamni anampa mahaba now hamna kitu akasema nae anaamin mumew kunamtu anaempenda na annamfanyia yote huko nje na yeye pia kunamtu anamfeel kuliko anaeish nae na annamfanyia mambo mazuri na ni kweli wanawake wanachepuka Kwa Siri

So inahitaji Mungu aingilie kati ndoa miak hii ni full kuviziana watu wanaficha tu ila vinapigwa sana huko nje wote sawa tu
Ndo ujue sasa mahusiano yalivyo ukianza kuingiza file jipya nguvu kubwa sana inahamia huko na unafanya mambo ambayo ulikuwa unamfanyia mwenza wako halali but huku unaona anastahili zaidi.

Feeling na matendo mazuri yanahamia upande wa pili mwishowe unajisahau ukihisi hafuatilii kumbe anafuatilia kimya kimya mwishowe mdakana vurugu zinaanzia hapo au kama kila anachukua 50 zake mchezo umeishia hapo.

Kugawa feeling ni jambo gumu sana kuna upande utalega tu na kuharibu kila mlichokijenga miaka mingi, bahati mbaya na huo upande wa pili huwa unabadlika pia so its like "stupid avoidable ciycle" kila anauwezo kuamua na kubaki na mwenza wake.
 
Tatizo la Jf unaweza kaza fuvu kumshauri mtu kumbe kajitungia tu stori

Anyways zinaa ni sababu tosha ya kuvunja ndoa.

Kama ukipata ushahidi zaidi ya sms kuwa ni kweli anatoka nje ya ndoa , muache.

Ila kwa hatua hii sms pekee hazitoshi kuhitimisha kuwa ni kweli anatoka nje ya ndoa.
 
Hivi hawa wanawake zetu huwa hata wanatuonea huruma kweli jinsi tunavyowahangaikia wao waishi vizuri? Huwa sina kawaida ya kushika simu yake ila sijui nini usiku huu kimenituma niishike na kuikagua. Na hiki ndicho nilichokikuta.

Sijamsemesha chochote mpaka sasa niko macho tu natafakari. Alikuwa anachat na ex wake hapo, kuna mengi nimeyaona kwenye chatting zao lkn hili limenishangaza.

Naomba mnipe busara zenu ebu.

View attachment 3226517View attachment 3226518View attachment 3226519

Acha uboya kaka..
 
Back
Top Bottom