Baadhi ya wanawake wana mambo ya ovyo. Ebu mnishauri cha kufanya hapa kabla sijaushangaza ulimwengu

Baadhi ya wanawake wana mambo ya ovyo. Ebu mnishauri cha kufanya hapa kabla sijaushangaza ulimwengu

Pakada nishakuambia tangu zamani kama hupigwi mashine vizuri ni wewe sio wanawake wote..
So wewe unaamini mke wa huyu mtoa post ana akili sana ila mwamba ndie hampigi mashine si ndio?

Tangu kule nilikuambia inaonekana hupigwi mti ukasikia ndio maana unakuwa hivi..
Feministi yeyote ukimpiga pipe vizuri huwa anajisahau kwa muda kwanza anakuwa wife material na hata anaanza kuwapinga mafeministi wenzake..
Mwehu wewe huyo mwenzio acha wamsaidie tu 😂😂
 
Je Hilo Swali Lako Na Wewe Umejiuliza?

Huyo Mwanamke Anajihudumia Au Anahudumiwa Na Mwamba?
Nani Anaoa? Nani Analipa Mahari?
Kwa Kukusaidia Mwanaume Ni Kama Mzazi Kwa Mwanamke Sijawahi Kuona Mtoto Akimwadhibu Mzazi Ila Kinyume Chake Ndo Sahihi.
Haiwezekani Unafuga Kuku Akupangie Sikukuu Ya Kumchinja!
Kwahiyo hana mikono analishwa kama mtoto eee! Hivi mtu mzima ukirudi unakuta kila kitu kipo sawa, hivi kama mwanaume kakamilika anaweza kutafuta mtu mwingine? Inamaana hawezi kamilika mpaka awe na mke yaani msaidizi
 
Mwehu wewe huyo mwenzio acha wamsaidie tu 😂😂
Malaya ni malaya tu. Malaya baada ya kupata ndoa anarudi kwa malaya wenzake.
Kwanini hakuolewa na huyo jamaa anayempiga pipe vizuri?
 
Malaya ni malaya tu. Malaya baada ya kupata ndoa anarudi kwa malaya wenzake.
Kwanini hakuolewa na huyo jamaa anayempiga pipe vizuri?
Itakuwa mwenzio aliingia Kwa gia kubwa kumbe haina nguvu 😄😄😄 hata hivyo huyo jamaa yako hana uhakika, nakushauri usikae mbali na mkeo uwe karibu naye
 
Itakuwa mwenzio aliingia Kwa gia kubwa kumbe haina nguvu 😄😄😄 hata hivyo huyo jamaa yako hana uhakika, nakushauri usikae mbali na mkeo uwe karibu naye
Soma text za huyo jamaa ndiyo ujue huyo mwanamke ni malaya aliyekubuhu aliyekuwa anafukuzia ndoa
Mimi hapo nikupiga chini, hakuna maelezo ili wakagegedane vizuri
 
Kwa wale mnaotaka kujua hii conversation ilikuaje;

Me: "...hahaaa ivi unajua ww una vituko sana?"
Ke: "vituko gan ss bby"
Me: "we kwann ulinikazia sana kule mwanzoni?"
(Hapa weka hiyo msg kwenye uzi)
Me: "ahaa sawaa.. ujue nilianza kuhisi labda unataka kunichinjia baharini!"
Ke: "amnaa.. ilikua ni lazima niweke mazingira vizuri kwanza jamaa asije akashtuka"
Me: "hapo sawa, nimekuelewa. Kwahiyo lini tena tunaonana? "
Ke: "ngoja tuone weekend hii"
Me: "ok"
Ke: "jamaa amerudi, usitume tena msg. Bye"
Me:
Nyieee dhambiii 😅😅mchochezi wewe..
 
Mchawi wa mwanaume ni mwanaume mwenzakee..why utongoze mke wa mtuu?.na unajua kbsa kaolewaa?..mabadiliko yanaanza na nyie wanaume...Acheni kudeal na married woman...
Ukisoma hizo meseji, huyo mwanamke alikuwa ana mahusiano kabla hata ya kuingia kwenye ndoa.
Ningekuwa jamaa, nawafungisha ndoa ili wakagegedane vizuri si wanapendana
 
Kwahiyo hana mikono analishwa kama mtoto eee! Hivi mtu mzima ukirudi unakuta kila kitu kipo sawa, hivi kama mwanaume kakamilika anaweza kutafuta mtu mwingine? Inamaana hawezi kamilika mpaka awe na mke yaani msaidizi
Kila kitu kipo sawa bila pesa?
 
Katika generation tuliyopo ndoa ni concept ambayo ishapitwa na wakati. Mwanamke akiitetea ndoa kidogo nitamuelewa kwa sababu inalinda masilahi yake, lakini kwa upande wa mwanaume kwa maisha ya sasa ndoa haina maana tena
Tupe ,tekniki namna ya kuanzisha familia ,n kuchukua demu kuzalsha ,na kulea mtoto alafu no ndoa au vp bro?ushauri
 
Back
Top Bottom