Baadhi ya wanawake wana mambo ya ovyo. Ebu mnishauri cha kufanya hapa kabla sijaushangaza ulimwengu

Baadhi ya wanawake wana mambo ya ovyo. Ebu mnishauri cha kufanya hapa kabla sijaushangaza ulimwengu

Kwa kawaida, mwanamke wa aina ya huyo wa kwako, KATU HAPASWI KUBAKI NDOANI, huyo anapaswa kuachwa kwa misimamo mikali kabisa, akaendeleze ufuska wake huko !huyo ni Malaya kabisa! Nimekasirika sanaaaa!
 
Hivi hawa wanawake zetu huwa hata wanatuonea huruma kweli jinsi tunavyowahangaikia wao waishi vizuri? Huwa sina kawaida ya kushika simu yake ila sijui nini usiku huu kimenituma niishike na kuikagua. Na hiki ndicho nilichokikuta.

Sijamsemesha chochote mpaka sasa niko macho tu natafakari. Alikuwa anachat na ex wake hapo, kuna mengi nimeyaona kwenye chatting zao lkn hili limenishangaza.

Naomba mnipe busara zenu ebu.

View attachment 3226517View attachment 3226518View attachment 3226519

Tukikupa busara hautaelewa, maana kama imefikia hapo na bado unatuomba sisi ushauri maanake ni kwamba akili yako haitoshi kusimamia jambo la msingi kama hilo basi inatosha kusema endelea kukomaa na kufanya uchunguzi zaidi hadi uridhike kumuacha..
Si bado hujui cha kufanya mpaka sasa??
Ni suala la muda tu utafanya maamuzi na bado kwako yatakuwa sawa tu
Haijalishi jamii itasema nini ila amini bado utakuwa sawa tu..
 
Hili sio swali ni kumtukania kama yake.

Wewe masuala ya mapenzi ya mama Yako unayafuatilia hauko sawa kimaadili.

Inaingia akilini hata kujiuliza "hivi mama aliolewa akiwa na Bikra?"
Ndio muachane na bikra
 
Unasema hunaga time na simu yake, ila yeye anachukua ya kwako..!!!

When you see a horse 🐎 coming with nobody on it, Don't rejoice you have gotten a gift. First confirm what happened to the rider..🏇

Uaminifu haupimwi kwa imani tu, lazima uhakikishe na uthibitishe.
Huwa nikiona mwanamke ana mambo mengi mara kapaka maurembo urembo mengi
Macho anaweka kama vile ni mlemavu wa macho na mikono kaweka dizaini anayoijua yeye, mdomo karefusha kakomaa kuutoa upumbavu aliojaza kichwani akidhani ndio usasa na kujitambua huwa najitahidi kumuomba Lucifer aniweke mbali na viumbe wa aina hiyo..
 
😂
 
Cheating principle.

"Mwanamke anayeachana na John ili aolewe na james, ana 100%ya kucheat na John"

Ilitakiwa iwe hivi

"Aolewe na John au Kama hataki akae hivyo hivyo asiolewe"

Hii kanuni ikifatwa tutapunguza cheating kwa 99%
 
Huwa nikiona mwanamke ana mambo mengi mara kapaka maurembo urembo mengi
Macho anaweka kama vile ni mlemavu wa macho na mikono kaweka dizaini anayoijua yeye, mdomo karefusha kakomaa kuutoa upumbavu aliojaza kichwani akidhani ndio usasa na kujitambua huwa najitahidi kumuomba Lucifer aniweke mbali na viumbe wa aina hiyo..
A woman who spends more money on hair salon and cosmetic to look pretty but spends nothing on books to enlighten her mind 🧠, Is a low value woman wearing an expensive camouflage to decorate an empty coconut 🥥 HEAD.

Beauty has sent a lot of girls to marriage but character is busy returning them to their father's house.

Avoid treacherous bastard women.
 
Kaka wewe hujawai cheat?
Mwanaume akipata mtoto nje, anamtabulisha kwa mkewe kisha anamhudumia kwa pesa zake.
Mwanamke akipata mtoto nje, anamleta mtoto kimya kimya mwanaume ndiyo anamhudumia.
Ndoa inahitaji uvumilivu sana
 
Vipi kuhusu wewe kufungua zipu yako ovyo? Ukileta magonjwa hapa ngoma droo unafungua zipu uko kwingine na mimi navua uku tena na rafiki yako
Unapigwa chini, anaolewa mwingine.
Huwezi kubishana na mtu ambaye kula yako, kuvaa yako, kutibiwa yako n.k inamtegemea mwanaume
 
baki na huyohuyo, ukimwacha ukaoa mwingine unaweza pigwa events za kukufanya uwe chizi, bse huna uwezo wakumjua next lady ata-behave vipi
Huu ni ushauri mbovu kabisa, yaani aendelee kuishi na malaya kwa hofu ya eti akipata mwingine atampiga matukio zaidi! Kwa hiyo bora apate ukimwi tu? Kweli wanaume tumebaki wachache sanaaa
 
Mnavyo angaikia bikra iyo mama zenu wali funga ndoa na bikra zao?
Waambie wazoee kuchapiwa Kama wewe unavyochukulia poa demu wako kushenyentwa, Haya Mambo yapo.

Demu akitolewa bikra na mwanaume tofauti na wewe, ni huruma yake na rehema za MUNGU kuto kucheat. Zamani kulikuwa na maadili, upendo wa kweli na hofu ya MUNGU, muulize vizuri mama yako, ukute aliolewa akiwa na bikra, baadae ilikuwaje? Unajua Wewe.

Zamani upumbavu Kama huu haukuwepo Kwa wingi Kama Sasa.
 
Wewe unachokita unakujua? Hujawahi cheat ? Embu fikirisha akili yako!
Je Hilo Swali Lako Na Wewe Umejiuliza?

Huyo Mwanamke Anajihudumia Au Anahudumiwa Na Mwamba?
Nani Anaoa? Nani Analipa Mahari?
Kwa Kukusaidia Mwanaume Ni Kama Mzazi Kwa Mwanamke Sijawahi Kuona Mtoto Akimwadhibu Mzazi Ila Kinyume Chake Ndo Sahihi.
Haiwezekani Unafuga Kuku Akupangie Sikukuu Ya Kumchinja!
 
Uwaminifu ndo nini???


Oa mwanamke walau hako na degree moja ya 1.5 GPA
Nilichokuelewa Ni Kwamba Aoe Mwanamke Atakae Tafunwa Na Mabosi Wake Au Na Staff Wenzake Kwenye Semina Ila Sio Hawa Wanaogafunwa Na Boda Boda Si Ndio Baba?
 
Back
Top Bottom