Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Katika generation tuliyopo ndoa ni concept ambayo ishapitwa na wakati. Mwanamke akiitetea ndoa kidogo nitamuelewa kwa sababu inalinda masilahi yake, lakini kwa upande wa mwanaume kwa maisha ya sasa ndoa haina maana tenaHapa tulipofikia khamusi iedit maana ya Ndoa iilete kwenye Uhalifu.