Rajabmbisha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2024
- 316
- 530
Ngumu kumeza,inaonekana wametoka mbali,piga chini huyo mwanamke inaumiza sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasema hunaga time na simu yake, ila yeye anachukua ya kwako..!!!Yule ni mwaminifu na mlokole mamboleo 😊 ambae anajitambua na hajapitia mambo mengi ya ujana pia Mimi ndie dream man wake so tuna aniversally nyingi tu..
Simu zangu mbili za smart moja nikifika anaichukua ingia online & everything..sina michepuko so yupo free kwenye simu yangu 😊 Mimi sinaga time na simu yake
jambo dogo wakati inaonesha now amelegeza nati jamaa anajipigia mwanzo alikazia.Jambo dogo ilo usichukulie kwa ukubwa uho
Halafu jamaa linaonekana linampiga demu pipe vizuri,maana demu anaonekana yuko deep sana kwa jamaa.yaelekea huko nyuma jamaa liliwahi mzingua demu wakashindwana sahivi ndio limerudisha majeshi.Hivi hawa wanawake zetu huwa hata wanatuonea huruma kweli jinsi tunavyowahangaikia wao waishi vizuri? Huwa sina kawaida ya kushika simu yake ila sijui nini usiku huu kimenituma niishike na kuikagua. Na hiki ndicho nilichokikuta.
Sijamsemesha chochote mpaka sasa niko macho tu natafakari. Alikuwa anachat na ex wake hapo, kuna mengi nimeyaona kwenye chatting zao lkn hili limenishangaza.
Naomba mnipe busara zenu ebu.
View attachment 3226517View attachment 3226518View attachment 3226519
Simu yake ipo TU na haina mambo mengi na kikubwa yupo busy na ulezi wa mtoto...moto anapelekewa wa kutosha...sizani Kama Kuna anything fish outside.Unasema hunaga time na simu yake, ila yeye anachukua ya kwako..!!!
When you see a horse 🐎 coming with nobody on it, Don't rejoice you have gotten a gift. First confirm what happened to the rider..🏇
Uaminifu haupimwi kwa imani tu, lazima uhakikishe na uthibitishe.
TAMADUNI MUSIC.Halafu jamaa linaonekana linampiga demu pipe vizuri,maana demu anaonekana yuko deep sana kwa jamaa.yaelekea huko nyuma jamaa liliwahi mzingua demu wakashindwana sahivi ndio limerudisha majeshi.
😂😂😂We humtakii mema huyu Mwanamke unataka achomwe kisu.Kosa moja haliachi mke, vumilia ndo ukubwa huo 😹
Cha kufanya wewe mtafute huyo x wake muulize malinda yake anayapenda??
Kugongewa mke kunauma coz umewekeza muda na pesa zako kwake, halafu unakuta kwako chuma mboga hakupi anakwambia mgongo unamuuma, ila kwa ex anabinuka haswaah na anatwerk bila kuombwa 😹😹😹
Nilisahau na ikichomoka kabla hajairudishia kwanza anailamba cone ndo anairudisha..!! 😹😹
Kwako ikichomoka anaacha uirudishie mwenyewe 🤣 OLE WAKO UMUACHE MI NATANIA HAPA 🏃♀️
Nimemwambia namtania wii 😹😹😂😂😂We humtakii mema huyu Mwanamke unataka achomwe kisu.
We unajua vile hao viumbe wakisalitiwa wanatoka kwenye hali ya Ubinadamu wanakuwa kwenye hasira cha kiwango cha juu😁😁😁Nimemwambia namtania wii 😹😹
Yeye hajawahi kusaliti 😹We unajua vile hao viumbe wakisalitiwa wanatoka kwenye hali ya Ubinadamu wanakuwa kwenye hasira cha kiwango cha juu😁😁😁
Ukute hapo ana michepuko kama yote halafu hii Id ipo kwenye ule uzi wa kula tunda kimasihara kama sikosei😂😂😂🤸🏿♀️Yeye hajawahi kusaliti 😹
Atulie ashushe temper walee watoto hao..!!
😹😹 Kumbe?!Ukute hapo ana michepuko kama yote halafu hii Id ipo kwenye ule uzi wa kula tunda kimasihara kama sikosei😂😂😂🤸🏿♀️
Hivi Shangazi yako kapotea wapi mbona simuoni tena jukwaani😁
Karibu chamanDokta upande wetu huu Kaka ni kweli ,ila kuhusu punyeto nimeshindwa kudhibitisha ukweli wa madhara maana wapo niliowaona wakifanya hivyo na wako sawa na wengine hawako sawa hivyo nimejikuta Kati Kati
Napendelea kuhitimisha kwa kusema Ina madhara kwa kiasi Cha upigaji wako hasa Mara ngapi kwa siku na Ina muda gani Ila madhara yatakuandama ikiwa ni final sex pleasure huna mtu kabisa Ila ikiwa unaye mtu hayo madhara sijayaona .
Nb:Mimi sio daktari wa Mambo ya ngono Ila wa virungu na viboko kwa watu wanaojitoa ufahamu wa Mambo katika jamii
Sahani kwenye mgahawa nikitumia mimi ama yule inaoshwa halafu wewe unanapakuliwa chakula,We bado unawaamini wanawake mzee
Ao kama kile chama tu
mitano tena