Baadhi ya wanga ni watumwa na wapagazi

Baadhi ya wanga ni watumwa na wapagazi

Je, mtu akiona kama kuna likitu ndani ya kichwa chake kizito na haumwi.Na mara nyingi akitaka kufanya kazi ya muhimu usingizi unamjia. Hapo Kuna shida gani na tatizo ni nini hapo na je anatokaje hapo?
 
Kama Mungu yuko na waumini wake kwanini mnataka kuharibu imani ya waumini kwa kwenda kuwachezea na hivyo kuharibu imani ya waumini!? Mnawachezea ili mpate kipi hasa? 😳
Ishi kwa imani ukiamini Mungu wako yu pamoja nawe
 
Je mtu akiona kama kuna likitu ndani ya kichwa chake kizito na haumwi.Na mara nyingi akitaka kufanya kazi ya muhimu usingizi unamjia.Hapo Kuna shida gani na tatizo ni nini hapo na je anatokaje hapo?
Moja kwa moja huyo keshapigwa kipapai.. Haya mambo ukiachana na maombi na dua kwingine kote ni bahati nasibu... Ni mpaka umpate mtaalam anayejua codes zilizotumika kukufunga ndio ataweza kutatua tatizo lako
Baadhi ya codes
1. Kijiwe kuwekwa juu ya picha yako
2. Picha yako kukandamizwa mchagoni
3.picha yako kufungwa na sanda na kufukiwa
4. Nywele kuchanganywa na mchanga na kufukiwa
5. Nknknk
 
Kama Mungu yuko na waumini wake kwanini mnataka kuharibu imani ya waumini kwa kwenda kuwachezea na hivyo kuharibu imani ya waumini!? Mnawachezea ili mpate kipi hasa? [emoji15]
Kaka uchawi ni hobby kama ilivyo pombe, madawa, ngono nk.. Lakini pia dunia imejaa watu wenye rohombaya.. From no where mtu anaweza tu kukuchukia bila sababu na kuamua kutumia ushirikina kukuumiza
 
Hobby ya kuumiza binadamu wenzio ambao hawajakukosea lolote!? 😳😳😳😳😳
Kaka uchawi ni hobby kama ilivyo pombe, madawa, ngono nk.. Lakini pia dunia imejaa watu wenye rohombaya.. From no where mtu anaweza tu kukuchukia bila sababu na kuamua kutumia ushirikina kukuumiza
 
Kwahiyo kati ya wanga wanaowasumbueni usiku wengine ni wpagazi wa kutumwa vitu mbalimbali kama kucha,

Mkuu hapo nina swali, Kuna siku bibi yangu mzaa mama alikuwa chumbani akaniita akanipa kitambaa ameviringisha kitu ambacho sikukijua akaniambia katupe nje, nilihamaki kidogo ,nikafanya kukifungua palepale kabla ya kwenda kutupa nikakuta ni kucha zake alikuwa anajikata nikaenda kutupa, na kulikuwa na tetesi kuwa bibi angu ni "mwanga" ila alishafariki na alikuwa ananipenda sana, isije kuwa alikuwa ananipa ulozi bila mimi kujua.

Hii imekaaje mkuu
 
Hobby ya kuumiza binadamu wenzio ambao hawajakukosea lolote!? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Dunia ina mengi kaka... Ni kama tu mtu kumlawiti mtoto wa ndugu au hata asiye ndugu.. Some people lacks sense of humor..hawana tafakuri na matendo yao.. Wanajitazama wao wenyewe tuu
 
Mkuu hapo nina swali, Kuna siku bibi yangu mzaa mama alikuwa chumbani akaniita akanipa kitambaa ameviringisha kitu ambacho sikukijua akaniambia katupe nje, nilihamaki kidogo ,nikafanya kukifungua palepale kabla ya kwenda kutupa nikakuta ni kucha zake alikuwa anajikata nikaenda kutupa, na kulikuwa na tetesi kuwa bibi angu ni "mwanga" ila alishafariki na alikuwa ananipenda sana, isije kuwa alikuwa ananipa ulozi bila mimi kujua.

Hii imekaaje mkuu
Alikuwa na maana yake pengine alikuwa anakuondolea alichokuwa kakuwekea
 
Hata humu jamii forum kuna washirikina kama woote na wengi wao wamevaa vazi la Dini kuficha maovu yao naomba niishie hapo[emoji848][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Nilifanya zamani sio sasa.. Nimeacha kabisa( sorry nimeongea ukweli wangu)
Mkuu sijamaanisha wewe ila kuna watu wanatumikia mapete ya majini humu mixer mvuto
 
Naomba niwe wazi tu kwako mshana nakuamini Sana na nakupenda Sana uko makini Sana wewe,the boss na kikulachochako wote nyie ndo nawafuatilia Sana

Ila kwenye Hili la uchawi au ushirikina asee sitakaa niamini Kama Kuna kiumbe ambacho kinaweza kupotea au kupaa na ungo hizo zote kwangu Ni Kama uwongo tu labda useme mtu kulogwa maana unaweza ukawekewa hata kitu flani kwenye chakula ukipata matatizo ya kiafya tutasema umelogwa ila Hilo sijui la kubadilisha sura hawana uwezo huo.

Nina mengi ya kusema itoshe tu kwa kusema yanayosemwa mengi Ni tofauti na ambayo unaweza ukayaona
Dah.... Dogo....kwa uzoefu wa ufagio Una kasi zaidi ungo....karibu mbili zaidi ya ungo...na hii inasababishwa na msukumo kinzani wa hewa ,[emoji2960][emoji56]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nakumbuka kuna kipindi niliamka asubuhi nkaoga nakuchana nywele vizuri, nakuingia mtaani kuna jamaa akaniuliza "bro mbona upande wa kushoto umenyoa ovyo" narudi home kujiangalia vizuri kichwani kuna sehemu nywele hazipo kabisa.

Nilishauriwa kuogea mabonge ya chumvi na kunyunyuzia ndani unga(wa udaga) huku nikinuia, lakini mpaka leo sijawahi elewa huwa wanatunyoa vipi na nywele hizo wanazitumia kwa matumizi gani? hasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona unaruka ruka tu huku na kule kutaka kujustify na kuplay down huu ushenzi. Kama dunia ina mengi na wewe ndiyo ukaamua kujiingiza huko ili uwachezee watu usiku wa maanane bila ridhaa yao kuwawangia, kuwaroga na kuchezea wapenzi wao waliotangulia mbele ya haki kwenye makaburi yao? Na hivyo kuwafanya waishi kwa hofu kubwa?
Unadai ni HOBBY kama ni hobby kwanini usiende kuwachezea mchana au kwenda kufukua makaburi mchana badala ya usiku wa manage?
Mwenyezi Mungu hadhihakiwi kama kweli unataka kumrudia Mungu wako basi choma moto hivyo vibuyu vyako, hirizi, ungo na vingine vyote unavyovitumia kuwadhuru binadamu wenzio. Hicho unachotaka kufanya cha kumrithisha mrithi ili aendeleze huo ushenzi wa kuwaumiza binadamu wenzio na kuwafanya waishi kwa hofu kubwa KAMWE hakitakuweka karibu na Mungu wako.
Unadhani ni kwanini watu wanapomkamata mchawi aliyeenda kuwanga usiku wa manane humpiga hadi afe!?

Dunia ina mengi kaka... Ni kama tu mtu kumlawiti mtoto wa ndugu au hata asiye ndugu.. Some people lacks sense of humor..hawana tafakuri na matendo yao.. Wanajitazama wao wenyewe tuu
 
Back
Top Bottom