Baadhi ya wanga ni watumwa na wapagazi

Baadhi ya wanga ni watumwa na wapagazi

Ujinga ni nini maa a we sio wa imani yangu iheshimu imani yangu ikibidi hata ujinga wa gu uheshimu
 
Hatua za kuwa mshirikina (combine ya uchawi, uganga, ulozi, kuwanga, kuroga na kuwanga)...! Haya yote ndio yanatengeneza neno USHIRIKINA!

Hatua ya chini kabisa ni kuweza kupaa na ungo na kuingia kwenye majumba ya watu na kuwachezea... Katika hatua hii pia kuna masomo mengine kama chuma ulete, kuchukua kitu cha mtu mbele yake bila mwenyewe kukuona, kupiga zongo nk

Hatua ya pili ni uwezo wa kujigeuza maumbile, kuvaa sura ya mtu mwingine au kujigeuza kuwa mnyama... Na hii mara nyingi hufanyika bila hata kiza kuingia

Hatua ya tatu ni uwezo wa kufika mbali kwa kitendo cha kufumba na kufumbua macho, kumvuta mtu umtakaye aje mbele yako na uwezo wa kuua ukiwa mbali

Kwahiyo kati ya wanga wanaowasumbueni usiku wengine ni wpagazi wa kutumwa vitu mbalimbali kama kucha, nywele, nguo, kuchanja chale, kwenda kuchukua wafu mahospitalini ama kukusanya damu na nyama maeneo ya ajali ambapo mara nyingi ndio wao wanakuwa wamezisababisha ama aliyewatuma

Wale washirikina makonki wa madaraja ya juu huwa hawajihangaishi kutoka kwenda kutafuta chochote hata kana wana huo uwezo bali huwatumia vijana wanaowafundisha kazi ama wasaidizi wao kwa hiari!

Je na hawa watumwa ni akina nani? Watumwa wa kishirikina namaanisha! Hawa ni watu walioko huko si kwa ridhaa yao bali kwa matendo ya binadamu wengine na wengi wao huwa kiasili ni misukule.. Hawa hutokana na Kukosana na 'wazee wa busara kisha wakakukomoa.

Ugomvi wa familia au ndugu
Kugombea mirathi ama mali
Vyeo na nafasi kazini
Umaarufu na utajiri pia

Kuna namna tatu ya kupata watumwa
1. Kumtia mtu wendawazimu/ kumfanya chizi
2. Kumpoteza asionekane tena
3. Kumchukua msukule/ kumuua kishikirina hasa hasa kupitia ajali

Ushirikina ni sayansi ya ajabu kabisa na iko deep sana...!
Unaenda kumfanyizia mtu kwa mganga kwa nia yoyote ile.. Ukifika unapewa karai lenye maji kisha anaitishwa pale nawe unamuona live kabisa sura yake.. Kisha unapewa kisu umchome! Ukishafanya hivyo tu maji yote kwenye karai yanageuka damu na huko aliko mhusika anapata ajali yoyote na kufa!

Kwanini kuchoma uso? Sio popote bali unatakiwa kuchoma sehemu ya koromeo...
Kwanini huchomi sehemu nyingine za mwili? Inawezekana kabisa ila kama hutaki afe bali apate tu ajali mbaya .. Hapo ataumia zaidi sehemu husika

Magonjwa je?
Washirikina mara nyingi hawatumii magonjwa kwakuwa unaweza kupata tiba na kupona...lakini akikukamia ili akutese muda mrefu anakupiga na maradhi ambayo utamaliza hospital zote bila tatizo kuonekana

Dawa na kinga kwa washirikina ni hizi mbili zisizo na madhara ya baadae
1. Maombi na dua.. Usiache kufanya maombi wala dua kwa kila ufanyacho iwe chakula, iwe kinywaji, iwe ukitoka ndani, iwe ukipanda chombo cha usafiri, iwe ukiingia ofisini, iwe ukiingia nyumbani nknk
2. Tumia chumvi ya mabonge kadiri uwezavyo..itangulize popote unapotaka kwenda au chochote unachotaka kufanya na ukiweza inenee au nuia..!!!
Ulimwengu usioonekana una mengi mabaya na washirikina ni sehemu yao!

Laleni salama! Na Mungu awalinde na kuwapigania...!!!
Witchdoctor mstaafu.

Unafanyaje ili wachawi wasije kwako kulieta uchawi
 
Unadai ni HOBBY kama ni hobby kwanini usiende kuwachezea mchana au kwenda kufukua makaburi mchana badala ya usiku wa manage?
BAK Kila kitu kina formula zake ujue..!
Tukijadiliana kwa utashi itapendeza sana ila rukitumia emotion tutajikuta tunaanza kukoseana heshima ikija swala la imani za kikristu na islamu hakuna shida kujadili kama mtu anaona hawezi himili jipe muda ni jambo la kawaida.... madhara ya ushirikina unawea fananisha na madhara ya ukristu au uislam laa hasha tukubaliane pasipo makubaliano
 
Moja kwa moja huyo keshapigwa kipapai.. Haya mambo ukiachana na maombi na dua kwingine kote ni bahati nasibu... Ni mpaka umpate mtaalam anayejua codes zilizotumika kukufunga ndio ataweza kutatua tatizo lako
Baadhi ya codes
1. Kijiwe kuwekwa juu ya picha yako
2. Picha yako kukandamizwa mchagoni
3.picha yako kufungwa na sanda na kufukiwa
4. Nywele kuchanganywa na mchanga na kufukiwa
5. Nkn
Asante sana
 
Moja kwa moja huyo keshapigwa kipapai.. Haya mambo ukiachana na maombi na dua kwingine kote ni bahati nasibu... Ni mpaka umpate mtaalam anayejua codes zilizotumika kukufunga ndio ataweza kutatua tatizo lako
Baadhi ya codes
1. Kijiwe kuwekwa juu ya picha yako
2. Picha yako kukandamizwa mchagoni
3.picha yako kufungwa na sanda na kufukiwa
4. Nywele kuchanganywa na mchanga na kufukiwa
5. Nknknk
Utamjuaje mtaalam wa kweli? Anakaa kijijini au mjini anadai pesa au hadai?
Na Kuna story kuwa Kuna wakati wachawi wanaenda kwa waganga wa kienyeji na kuwaomba wasimsaidie mtu fulani, je kuna ukweli wowote?
 
I like ur gentleness..I real salute you! Wachache sana wanajua kuheshimu hisia za watu bila kuchukulia personal...nimejifunza sana hapo[emoji115]
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
 
Mshana choma tu hayo matunguri usirithishe mtu.
Ungekuwa unatoa darasa la kupambana na hawa watu wabaya wanaowadhuru binadamu wenzao wasio na hatia yoyote basi ningekuunga mkono lakini pamoja na kuwa unaandika hadharani bado unakifanya kitu kile kile cha kuwadhuru binadamu wenzio kwa kuingia majumbani mwao bila ridhaa yao na kuwachezea utakavyo na kuwafanyia mengi ambayo mimi siyajui pia kwenda kufukua makaburi ya wafu bila ridhaa ya ndugu zao na kufanya uyafanyao ambayo si mazuri na ndiyo sababu unayafanya kwa KIFICHO kwa kuwa unajua unayoyafanya si mambo mema ni uovu tena wa kutisha sana.
Choma hizo tunguli zako kisha uanze juhudi zako za kurejea kwa Mungu wako. Kila la heri na baraka. [emoji1488]
Niko njiani kwenda kuyateketeza nimezingatia ushauri wenyu na kuuheshimu sana
IMG_20210506_003630_385.jpg
 
Hivi kafara ya binadamu inaweza kumdhuru binadamu yoyote ambaye wanamtaka wao hao washirikina!!!
 
Hongera sana Mkuu. Wewe ni mmoja wa watu hapa jamvini ambao nawaheshimu sana pamoja na kuwa hayo uliyokuwa unayafanya ulale kuwa yananikera sana na kuniogopesha. Sikutegemea kama ushauri wangu na wengine humu ungeopokea. Ahsante sana Mkuu.
🙏🏾🙏🏾🙏🏾 I salute you and you’ll always have my deepest respect.
Niko njiani kwenda kuyateketeza nimezingatia ushauri wenyu na kuuheshimu sanaView attachment 1774818
 
Hongera sana Mkuu. Wewe ni mmoja wa watu hapa jamvini ambao nawaheshimu sana pamoja na kuwa hayo uliyokuwa unayafanya ulale kuwa yananikera sana na kuniogopesha. Sikutegemea kama ushauri wangu na wengine humu ungeopokea. Ahsante sana Mkuu.
[emoji1488][emoji1488][emoji1488] I salute you and you’ll always have my deepest respect.
[emoji1545][emoji1545][emoji1545] pomoja sana brother n my apology kwa kukwazika na haya yote ... I have made a promise in front of everyone of you! I will deliver it!
See my location n time
Screenshot_20210506-013343.jpg
 
No need of apologies Bro. Let bygones be bygones. Thank you 🙏🏾 so much 👍🏽
[emoji1545][emoji1545][emoji1545] pomoja sana brother n my apology kwa kukwazika na haya yote ... I have made a promise in front of everyone of you! I will deliver it!
See my location n timeView attachment 1774821
 
Back
Top Bottom