Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishi kwa imani ukiamini Mungu wako yu pamoja nawe
Moja kwa moja huyo keshapigwa kipapai.. Haya mambo ukiachana na maombi na dua kwingine kote ni bahati nasibu... Ni mpaka umpate mtaalam anayejua codes zilizotumika kukufunga ndio ataweza kutatua tatizo lakoJe mtu akiona kama kuna likitu ndani ya kichwa chake kizito na haumwi.Na mara nyingi akitaka kufanya kazi ya muhimu usingizi unamjia.Hapo Kuna shida gani na tatizo ni nini hapo na je anatokaje hapo?
Kaka uchawi ni hobby kama ilivyo pombe, madawa, ngono nk.. Lakini pia dunia imejaa watu wenye rohombaya.. From no where mtu anaweza tu kukuchukia bila sababu na kuamua kutumia ushirikina kukuumizaKama Mungu yuko na waumini wake kwanini mnataka kuharibu imani ya waumini kwa kwenda kuwachezea na hivyo kuharibu imani ya waumini!? Mnawachezea ili mpate kipi hasa? [emoji15]
Kaka uchawi ni hobby kama ilivyo pombe, madawa, ngono nk.. Lakini pia dunia imejaa watu wenye rohombaya.. From no where mtu anaweza tu kukuchukia bila sababu na kuamua kutumia ushirikina kukuumiza
Kwahiyo kati ya wanga wanaowasumbueni usiku wengine ni wpagazi wa kutumwa vitu mbalimbali kama kucha,
🤣🤣🤣Siogopi
Nimekumbuka kulenkwetu ukikabidhiwa ana a kazi hakunaga sherehe ila utajulikana kupitia referal Za wenye hayo mahitajiMmh siwezi kusema hapa asilani[emoji2]
Dunia ina mengi kaka... Ni kama tu mtu kumlawiti mtoto wa ndugu au hata asiye ndugu.. Some people lacks sense of humor..hawana tafakuri na matendo yao.. Wanajitazama wao wenyewe tuuHobby ya kuumiza binadamu wenzio ambao hawajakukosea lolote!? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Alikuwa na maana yake pengine alikuwa anakuondolea alichokuwa kakuwekeaMkuu hapo nina swali, Kuna siku bibi yangu mzaa mama alikuwa chumbani akaniita akanipa kitambaa ameviringisha kitu ambacho sikukijua akaniambia katupe nje, nilihamaki kidogo ,nikafanya kukifungua palepale kabla ya kwenda kutupa nikakuta ni kucha zake alikuwa anajikata nikaenda kutupa, na kulikuwa na tetesi kuwa bibi angu ni "mwanga" ila alishafariki na alikuwa ananipenda sana, isije kuwa alikuwa ananipa ulozi bila mimi kujua.
Hii imekaaje mkuu
Mkuu sijamaanisha wewe ila kuna watu wanatumikia mapete ya majini humu mixer mvutoHata humu jamii forum kuna washirikina kama woote na wengi wao wamevaa vazi la Dini kuficha maovu yao naomba niishie hapo[emoji848][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Nilifanya zamani sio sasa.. Nimeacha kabisa( sorry nimeongea ukweli wangu)
Mhhhhhhh....noma mzeeAlikuwa na maana yake pengine alikuwa anakuondolea alichokuwa kakuwekea
Dah....[emoji857][emoji56]Maombi hayawahi wala hayachelewi bali hujibiwa kwa wakati[emoji2]
Dah.... Dogo....kwa uzoefu wa ufagio Una kasi zaidi ungo....karibu mbili zaidi ya ungo...na hii inasababishwa na msukumo kinzani wa hewa ,[emoji2960][emoji56]Naomba niwe wazi tu kwako mshana nakuamini Sana na nakupenda Sana uko makini Sana wewe,the boss na kikulachochako wote nyie ndo nawafuatilia Sana
Ila kwenye Hili la uchawi au ushirikina asee sitakaa niamini Kama Kuna kiumbe ambacho kinaweza kupotea au kupaa na ungo hizo zote kwangu Ni Kama uwongo tu labda useme mtu kulogwa maana unaweza ukawekewa hata kitu flani kwenye chakula ukipata matatizo ya kiafya tutasema umelogwa ila Hilo sijui la kubadilisha sura hawana uwezo huo.
Nina mengi ya kusema itoshe tu kwa kusema yanayosemwa mengi Ni tofauti na ambayo unaweza ukayaona
Ufagio naonaga wanatumia wazunguDah.... Dogo....kwa uzoefu wa ufagio Una kasi zaidi ungo....karibu mbili zaidi ya ungo...na hii inasababishwa na msukumo kinzani wa hewa ,[emoji2960][emoji56]
Sent using Jamii Forums mobile app
Dunia ina mengi kaka... Ni kama tu mtu kumlawiti mtoto wa ndugu au hata asiye ndugu.. Some people lacks sense of humor..hawana tafakuri na matendo yao.. Wanajitazama wao wenyewe tuu