Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #61
Unadai ni HOBBY kama ni hobby kwanini usiende kuwachezea mchana au kwenda kufukua makaburi mchana badala ya usiku wa manage?Naona unaruka ruka tu huku na kule kutaka kujustify na kuplay down huu ushenzi. Kama dunia ina mengi na wewe ndiyo ukaamua kujiingiza huko ili uwachezee watu usiku wa maanane bila ridhaa yao kuwawangia, kuwaroga na kuchezea wapenzi wao waliotangulia mbele ya haki kwenye makaburi yao? Na hivyo kuwafanya waishi kwa hofu kubwa?
Unadai ni HOBBY kama ni hobby kwanini usiende kuwachezea mchana au kwenda kufukua makaburi mchana badala ya usiku wa manage?
Mwenyezi Mungu hadhihakiwi kama kweli unataka kumrudia Mungu wako basi choma moto hivyo vibuyu vyako, hirizi, ungo na vingine vyote unavyovitumia kuwadhuru binadamu wenzio. Hicho unachotaka kufanya cha kumrithisha mrithi ili aendeleze huo ushenzi wa kuwaumiza binadamu wenzio na kuwafanya waishi kwa hofu kubwa KAMWE hakitakuweka karibu na Mungu wako.
Unadhani ni kwanini watu wanapomkamata mchawi aliyeenda kuwanga usiku wa manane humpiga hadi afe!?
BAK Kila kitu kina formula zake ujue..!