Baadhi ya Watanzania hawajui tofauti kati ya GDP na GDP Growth Rate?

Huna akili wewe, nenda Kibera ulale.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Kuwa genius haimaanishi unajua kila kitu, unaweza kuwa genius katika eneo fulani na mjinga kwenye eneo lingine.Kila siku tunapaswa kujifunza na kuwa tayari pia kuwa challenged.Execuse me, hata kwa mchuzi zinafaa
 
Labda tu ulikuwa hujui, ila kaa ukijua kwamba watanzania wengi hawajui mambo mengi sana hasa yale yanayoathiri maisha yao moja kwa moja
 
Kwaiyo wwuliye jifanya mwerevu , ndio lifundishwa na nann kuwa kenya inazalisha 109bil kwa mwaka kama ww sio wazim?
 
Alafu ukafungua na thread, kukosoa?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] kwaiyo nyie mwakan mtauwa na na GDP kiasi gani ikiwa kwa mwaka inaongezeka kwa 109 billions? 109×2 sio?
 
Amenichekesha sanaaa[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Ona sasa? ungefyata tu, yaani wewe ni boya wa maboya from Tanzania [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]
Afyate kwa kipi kilicho andikwa? Ikiwa mwandikaj mwenyew kandik pumba
 
Nani ataelezea huyu jamaa kwamba gdp huwa inahesabiwa kila mwaka? kwamba tukisema mwaka wa 2021 gdp ya Kenya ilikuwa $109 billion tunamaanisha kenya iliproduce goods and services ya $109 billion mwaka huo?
Sasa ww embu acha wazim...kuna GDP na growth rate ya GDP ...
Growth rate ya GDP ndio huwa unakusanywa kila mwaka , kupitia GDP growth rate ndio tunapata GDP , Mfano kenya ili ilikuw na 99b 2020 kutokana na growth rate mwaka unao fwata ikaongezeka kufikia 109bill.
 
Yeye ndio kachanganya sasa kati ya GDP na growth rate
 
Jombaa, vipi kuhusu GDP iki 'shrink', kama wanavosema kwa kimombo? Kwa mfano kama huo mwaka wa 2021 GDP ya Kenya ingekuwa ni $91B kutoka kwa $99B mwaka wa 2020.

Unataka kusema itamaanisha kwamba kwa mwaka huo wote wa 2021 uzalishaji na shughuli zote zingine za kiuchumi zitakuwa zilisimama kabisa? Kwasababu hapo GDP growth rate ni negative, kila sekta itakuwa iliingiza 0$ kwenye uchumi? Kuweni na mazoea ya kushirikisha ubongo buana na kutulia ile mjifunze mapya, ujuaji mwingi sio sifa.
 
Ww unarukaruka tu kma mjinga ..je ni kweli kunya growth rate ni 109bill kwa mwaka?
Enyewe Wabongo mna shida. Elimu yenu ni duni sana. 🤣 🤣 🤣

Wacha nikusaidie. Una mshahara wa Dola 1500 kwa mwezi. Yani Tshs. 3.5M. Huo mshahara ukaongezeka by 5%. Sasa mwezi mpya mshahara wako unakuwa $1575. Huu mwezi mpya utakuwa umetengeneza $1575 ama $75. Jibu hilo alafu utasaidika. Usiite watu wanaojaribu kukutoa ujinga eti wajinga.
 
Kwanza unatakiwa ujue kwenye uchumi kuna kitu kinaitwa negative growth [emoji116]...na ndichonkitakacho pelekea uchumi kushuka (GDP)
 
Wala usijichoshe case study Angola...kisha njoo
 
Siku nyingine utumie akili wacha kufananisha vitu usivyo vijua...kwaiyo mshahara ni sawa na GDP...kwa iyo uharo uliyo nayo kichwan?kalale km hujui kitu
 
Kwanza unatakiwa ujue kwenye uchumi kuna kitu kinaitwa negative growth [emoji116]...na ndichonkitakacho pelekea uchumi kushuka (GDP)
Nimelitaja hilo suala la negative growth hapo juu na ndio lilikuwa 'basis' ya swali langu, ambalo umelikwepa kama mtaalamu, wa longolongo. 😄
 
Wala usijichoshe case study Angola...kisha njoo
Sijakuitisha mfano wa nchi yeyote, kuhusu suala lolote ambalo nimelitaja. Nimekuuliza swali rahisi ambalo hutaki kulijibu. Aisee hivi huwa hamna aibu kabisa mkijiabisha bure, kisa ujuaji wa sampuli hii ambao hauna tija?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…