Wow! hapo enyewe umewapata. That is a nice way of thinking about it. 👏Jombaa, vipi kuhusu GDP iki 'shrink', kama wanavosema kwa kimombo? Kwa mfano kama huo mwaka wa 2021 GDP ya Kenya ingekuwa ni $91B kutoka kwa $99B mwaka wa 2020.
Unataka kusema itamaanisha kwamba kwa mwaka huo wote wa 2021 uzalishaji na shughuli zote zingine za kiuchumi zitakuwa zilisimama kabisa? Kwasababu hapo GDP growth rate ni negative, kila sekta itakuwa iliingiza 0$ kwenye uchumi? Kuweni na mazoea ya kushirikisha ubongo buana na kutulia ile mjifunze mapya, ujuaji mwingi sio sifa.
Hivi vitu huwa vinafanywa kisayansi. Sasa jombaa umejaribu kuwaelimisha, ila bado wanang'ang'ania tu wakati hata hawawezi wakadhibitisha uhalisia wa wanachokizungumza. Inabidi ujishushe kwenye level yao, ndio uweze kuwadadavulia kwa urahisi, ili mwishowe wajijazie pengo wao wenyewe.Wow! hapo enyewe umewapata. That is a nice way of thinking about it. 👏
Husaidiki boss. I wonder why I wasted my time responding to a mad man.🤣🤣🤣Siku nyingine utumie akili wacha kufananisha vitu usivyo vijua...kwaiyo mshahara ni sawa na GDP...kwa iyo uharo uliyo nayo kichwan?kalale km hujui kitu
Kumbe ni yule yule jamaa, bal. b/f kwenye ID nyingine? 😆Husaidiki boss. I wonder why I wasted my time responding to a mad man.🤣🤣🤣
Tangu Leo nakuita Balance Brought Forward🤣🤣🤣
Alafu usiwe km mtot, ili uchumi uwe kwenye negative jua lazima kuna factors zitakazo lazimisha uchumi kushuk, mfano kushuk bei za mafuta soko la dunia(supply exced demand) hapo itapelekea uchumi za nchi zinazo zalisha mafut kushuk, na hii iko more effective kweny nchi zinazo tegemea sector moja km sorce na nyingine kuwa minnar sectors ( pre mature)Nimelitaja hilo suala la negative growth hapo juu na ndio lilikuwa 'basis' ya swali langu, ambalo umelikwepa kama mtaalamu, wa longolongo. [emoji1]
Chukulia km mfano... nchi A wana tegemea Utali, madini, kilimo,provision of goods and services, Utali ukiwa kma main sector kwenye mchango wa GDP wakati sectors nyingine ni minners, ikitokea sector ya utali imeshuka to neg hata km minnar zita zalisha vyema usishangae growth rate ya GDP ikawa neg kutokana na prediction na achievementJombaa, vipi kuhusu GDP iki 'shrink', kama wanavosema kwa kimombo? Kwa mfano kama huo mwaka wa 2021 GDP ya Kenya ingekuwa ni $91B kutoka kwa $99B mwaka wa 2020.
Unataka kusema itamaanisha kwamba kwa mwaka huo wote wa 2021 uzalishaji na shughuli zote zingine za kiuchumi zitakuwa zilisimama kabisa? Kwasababu hapo GDP growth rate ni negative, kila sekta itakuwa iliingiza 0$ kwenye uchumi? Kuweni na mazoea ya kushirikisha ubongo buana na kutulia ile mjifunze mapya, ujuaji mwingi sio sifa.
Probably.🤣🤣🤣Kumbe ni yule yule jamaa, bal. b/f kwenye ID nyingine? 😆
Acha ujinga, kwani Kunyans wote wanajua?Kuna huyu Mtanzania anayeitwa joto la jiwe ambaye ndio genius wa huku. Lakini nimeshangaa kuona kwamba jamaa hajui tofauti kati ya gdp na gdp growth rate. Gdp ni thamani ya bidhaa na huduma zinazozalishwa ndani ya uchumi fulani kwa muda wa mwaka mmoja. Gdp growth rate ni kiwango cha kuongezeka au kupungua kwa Gdp kutoka mwaka mmoja hadi mwaka mwingine. Ona ujinga wa huyu jamaa.
View attachment 2194797
Ukiangalia hapa chini mahali nimekoleza kwa rangi ya samawati, ni wazi kwamba huyu jamaa anafikiri kwamba gdp growth rate ni sawa na thamani ya bidhaa na huduma zilizozalishwa ndani ya uchumi husika. Yaani anafikiria kwamba gdp ndio gdp growth rate. Kuna watu wajinga humu wajifanya werevu. Jamaa anadhani Kenya tunazalisha bidhaa na huduma za $4 billion kila mwaka. Mtanzania mwenzake amuambie kwamba Kenya tunazalisha bidhaa na huduma za $109 billion kila mwaka.
View attachment 2194811
What Is Gross Domestic Product (GDP)?
Gross domestic product (GDP) is the total monetary or market value of all the finished goods and services produced within a country’s borders in a specific time period. As a broad measure of overall domestic production, it functions as a comprehensive scorecard of a given country’s economic health.
Though GDP is typically calculated on an annual basis, it is sometimes calculated on a quarterly basis as well.
Gross Domestic Product (GDP) Formula and How to Use It
Gross domestic product is the monetary value of all finished goods and services made within a country during a specific period.www.investopedia.com
What Is an Economic Growth Rate?
An economic growth rate is the percentage change in the value of all of the goods and services produced in a nation during a specific period of time, as compared to an earlier period. The economic growth rate is used to measure the comparative health of an economy over time. The numbers are usually compiled and reported quarterly and annually.
In most cases, the economic growth rate measures the change in a nation's gross domestic product (GDP).
Economic Growth Rate: Definition, Formula, and Example
An economic growth rate is the percentage change in the value of all of the goods and services produced in a nation during a specific period of time, as compared to an earlier period.www.investopedia.com
Nimesema "Kuna baadhi ya Watanzania." Soma hio heading vizuri uniambie nimegeneralize wapi? Wewe ndio pimbi ambaye hajui kusoma. Rudi shuleni.Acha ujinga, kwani Kunyans wote wanajua?
By the way unge msite mhusika sio kufanya false generalisation pimbi wewe.
Hujielewi.Unatakiw kuelew kabla kujua uchumi wa nchi flan umekuwa kwa % ngap, kwanza huwa kuna prediction inayo tokan n ukuaji wa last year...ikitokea expectation haija fikiwa au imefikia hapo ndio utaona comments za mashirik km imf na WbAlafu usiwe km mtot, ili uchumi uwe kwenye negative jua lazima kuna factors zitakazo lazimisha uchumi kushuk, mfano kushuk bei za mafuta soko la dunia(supply exced demand) hapo itapelekea uchumi za nchi zinazo zalisha mafut kushuk, na hii iko more effective kweny nchi zinazo tegemea sector moja km sorce na nyingine kuwa minnar sectors ( pre mature)
Wait what did I just read🤔🤔 Now I'm beginning to think there are kids in this forum. A grown up cannot surely think like that😞😞Kuna huyu Mtanzania anayeitwa joto la jiwe ambaye ndio genius wa huku. Lakini nimeshangaa kuona kwamba jamaa hajui tofauti kati ya gdp na gdp growth rate. Gdp ni thamani ya bidhaa na huduma zinazozalishwa ndani ya uchumi fulani kwa muda wa mwaka mmoja. Gdp growth rate ni kiwango cha kuongezeka au kupungua kwa Gdp kutoka mwaka mmoja hadi mwaka mwingine. Ona ujinga wa huyu jamaa.
View attachment 2194797
Ukiangalia hapa chini mahali nimekoleza kwa rangi ya samawati, ni wazi kwamba huyu jamaa anafikiri kwamba gdp growth rate ni sawa na thamani ya bidhaa na huduma zilizozalishwa ndani ya uchumi husika. Yaani anafikiria kwamba gdp ndio gdp growth rate. Kuna watu wajinga humu wajifanya werevu. Jamaa anadhani Kenya tunazalisha bidhaa na huduma za $4 billion kila mwaka. Mtanzania mwenzake amuambie kwamba Kenya tunazalisha bidhaa na huduma za $109 billion kila mwaka.
View attachment 2194811
What Is Gross Domestic Product (GDP)?
Gross domestic product (GDP) is the total monetary or market value of all the finished goods and services produced within a country’s borders in a specific time period. As a broad measure of overall domestic production, it functions as a comprehensive scorecard of a given country’s economic health.
Though GDP is typically calculated on an annual basis, it is sometimes calculated on a quarterly basis as well.
Gross Domestic Product (GDP) Formula and How to Use It
Gross domestic product is the monetary value of all finished goods and services made within a country during a specific period.www.investopedia.com
What Is an Economic Growth Rate?
An economic growth rate is the percentage change in the value of all of the goods and services produced in a nation during a specific period of time, as compared to an earlier period. The economic growth rate is used to measure the comparative health of an economy over time. The numbers are usually compiled and reported quarterly and annually.
In most cases, the economic growth rate measures the change in a nation's gross domestic product (GDP).
Economic Growth Rate: Definition, Formula, and Example
An economic growth rate is the percentage change in the value of all of the goods and services produced in a nation during a specific period of time, as compared to an earlier period.www.investopedia.com
Mafiii[emoji706]Probably.[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi ni vyema...na vile akili mzgKumbe ni yule yule jamaa, bal. b/f kwenye ID nyingine? [emoji38]
Wente hawajui hawajifanyi eti wanajua.Acha ujinga, kwani Kunyans wote wanajua?
By the way unge msite mhusika sio kufanya false generalisation pimbi wewe.
Asante sana. Natumai joto la jiwe atakusikiliza.GDP growth rate mtu hajui kivipi?haya mambo yamekua yakijadiliwa sana labda kama anapima watu imani...basic knowledge rate inahusiana na % kukua ama kusinyaa kwa uchumi...ndio maana 5% gdp growth rate ya Tz haiwezi toa same amount na 5% ya ke considering the fact that Ke wanaGdp kubwa kuzidi yetu.
Hivi kweli Tony254 pamoja na kusoma kwako lakini bado hujui jinsi GDP inavyopatikana?, Kweli Kenya mpo na matatizo mengi[emoji23][emoji23]3Hahahaha. Huyo jamaa ni chizi.
Uko na mafikra ya hali ya juu..wewe unaeza leta mabadiliko kwenye nchi...kweli hivi wewe ni Mtz ...GDP growth rate mtu hajui kivipi?haya mambo yamekua yakijadiliwa sana labda kama anapima watu imani...basic knowledge rate inahusiana na % kukua ama kusinyaa kwa uchumi...ndio maana 5% gdp growth rate ya Tz haiwezi toa same amount na 5% ya ke considering the fact that Ke wanaGdp kubwa kuzidi yetu.
Wacha upuuzi wako, nenda katika ripoti za WB ambazo zinapAsante sana. Natumai joto la jiwe atakusikiliza.
Wacha kujipendekeza, yeye anakushangaa wewe hujui kitu, wewe unamshukuru, jaribu kujielimisha kichwa chako ni butu sanaAsante sana. Natumai joto la jiwe atakusikiliza.