Baadhi ya watendaji wa JamiiForums wakutana kutathmini mwaka 2023

kumbe kuna watendaji wasio wabongo! ni kwamba hatuwezi kitu moja kwa moja bila usaidizi kutoka nje?
hata hivyo hongereni kwa huduma yenu 2023 tunatarajia mazuri 2024 ikiwepo kupunguza baadhi ya malalamiko ya wadau wenu, kuboresha vita huduma vyenu ikiwepo app na kutoa elimu matambuka kwa jamii, kuwa kiungo cha jamii dhidi ya huduma mbalimbali ikiwepo serikali, kuwasaidia vijana katika changamoto zao ikiwepo elimu ya utambuzi , fursa za ajira na ujasiriamali na vyote vizuri mjaliwe kurudisha kwa jamii.
 
Katika kujipanga kutoa huduma bora zaidi, baadhi ya Watendaji wa JamiiForums walikutana Jijini Arusha kwa lengo la kutathmini shughuli zilizofanywa na Taasisi mwaka 2023 pamoja na kupanga Mikakati ya kuboresha zaidi mwaka 2024. Hii ilijumuisha kujengewa uwezo katika maeneo muhimu ya kiutendaji

View attachment 2894121View attachment 2894122View attachment 2894123View attachment 2894124View attachment 2894125View attachment 2894126View attachment 2894127View attachment 2894128View attachment 2894129View attachment 2894130
Mimi naangalia Pisi tu hapo, mengine tutatambulishana kwenye ban!
 
Katika kujipanga kutoa huduma bora zaidi, baadhi ya Watendaji wa JamiiForums walikutana Jijini Arusha kwa lengo la kutathmini shughuli zilizofanywa na Taasisi mwaka 2023 pamoja na kupanga Mikakati ya kuboresha zaidi mwaka 2024. Hii ilijumuisha kujengewa uwezo katika maeneo muhimu ya kiutendaji

View attachment 2894121View attachment 2894122View attachment 2894123View attachment 2894124View attachment 2894125View attachment 2894126View attachment 2894127View attachment 2894128View attachment 2894129View attachment 2894130
IMG_5943.jpeg

Maxence Melo

Nimezikumbuka hizo sura, hususan huyo fun-size [white top and blue jeans].

Halafu kuna wadada wengine wawili niliwabamba wakiniangalia wakati naperuzi JF!

Walikuwa wamekaa nyuma yangu. Nilipogeuka kwa ghafla, nikaona wanakodoa macho kujaribu kuona ni nani huyu anayeangalia JF.

Nilipowabamba hivyo, wakajifanyisha wanaendelea na mazungumzo yao ila wakawa washachelewa.

Hivi ni kina nani hao Maxence Melo? 😀
 
Katika kujipanga kutoa huduma bora zaidi, baadhi ya Watendaji wa JamiiForums walikutana Jijini Arusha kwa lengo la kutathmini shughuli zilizofanywa na Taasisi mwaka 2023 pamoja na kupanga Mikakati ya kuboresha zaidi mwaka 2024. Hii ilijumuisha kujengewa uwezo katika maeneo muhimu ya kiutendaji

View attachment 2894121View attachment 2894122View attachment 2894123View attachment 2894124View attachment 2894125View attachment 2894126View attachment 2894127View attachment 2894128View attachment 2894129View attachment 2894130
Kuna huyo mdada bonge kavaa nguo kama nyeupe mwambie anasalimiwa na kiongozi wake ws chakula wa enzi hizo

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
kilio ni app haifungu picha mpaka ufungue kwa browser sasa inakuwa haina maana ya uwepo wa app. na kwanini ni swala la muda hamjatoka hata kulitolea ufafanuzi wadau tuelewe tunaona kama dharau wengine.
 
Back
Top Bottom