Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Kila la kheri ktk jambo lenuKatika kujipanga kutoa huduma bora zaidi, baadhi ya Watendaji wa JamiiForums walikutana Jijini Arusha kwa lengo la kutathmini shughuli zilizofanywa na Taasisi mwaka 2023 pamoja na kupanga Mikakati ya kuboresha zaidi mwaka 2024. Hii ilijumuisha kujengewa uwezo katika maeneo muhimu ya kiutendaji
View attachment 2894121View attachment 2894122View attachment 2894123View attachment 2894124View attachment 2894125View attachment 2894126View attachment 2894127View attachment 2894128View attachment 2894129View attachment 2894130