Baadhi ya watendaji wa JamiiForums wakutana kutathmini mwaka 2023

Baadhi ya watendaji wa JamiiForums wakutana kutathmini mwaka 2023

....Ila niulize tu, hawa ndio kina @lemamy na To yeye nini?
au ndio raraa reree na Leejay49 ?
img_20240204_170605_042-jpg.2894128


Ngoja tuone.😂😂😂😂😂😅
 
Anzisheni jukwaa ambalo nyuzi zitakuwa zinafutika ndani ya saa 24, 48 au wiki moja

Mf; nauza simu huu uzi utaendelea kubaki jf ata kama nimeshauza hiyo simu

Lakini kama nimeweka hilo tangazo kwenye nyuzi zinazofutika kama sijauza nitalirudisha na kama nimeuza litakuwa lile bandiko halipo tena.
 
Back
Top Bottom