Baadhi ya watendaji wa JamiiForums wakutana kutathmini mwaka 2023

kumbe kuna watendaji wasio wabongo! ni kwamba hatuwezi kitu moja kwa moja bila usaidizi kutoka nje?
hata hivyo hongereni kwa huduma yenu 2023 tunatarajia mazuri 2024 ikiwepo kupunguza baadhi ya malalamiko ya wadau wenu, kuboresha vita huduma vyenu ikiwepo app na kutoa elimu matambuka kwa jamii, kuwa kiungo cha jamii dhidi ya huduma mbalimbali ikiwepo serikali, kuwasaidia vijana katika changamoto zao ikiwepo elimu ya utambuzi , fursa za ajira na ujasiriamali na vyote vizuri mjaliwe kurudisha kwa jamii.
 
Mimi naangalia Pisi tu hapo, mengine tutatambulishana kwenye ban!
 

Maxence Melo

Nimezikumbuka hizo sura, hususan huyo fun-size [white top and blue jeans].

Halafu kuna wadada wengine wawili niliwabamba wakiniangalia wakati naperuzi JF!

Walikuwa wamekaa nyuma yangu. Nilipogeuka kwa ghafla, nikaona wanakodoa macho kujaribu kuona ni nani huyu anayeangalia JF.

Nilipowabamba hivyo, wakajifanyisha wanaendelea na mazungumzo yao ila wakawa washachelewa.

Hivi ni kina nani hao Maxence Melo? πŸ˜€
 
Kuna huyo mdada bonge kavaa nguo kama nyeupe mwambie anasalimiwa na kiongozi wake ws chakula wa enzi hizo

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
kilio ni app haifungu picha mpaka ufungue kwa browser sasa inakuwa haina maana ya uwepo wa app. na kwanini ni swala la muda hamjatoka hata kulitolea ufafanuzi wadau tuelewe tunaona kama dharau wengine.
 
Mimi sijawahi kumuona huyu mkwe wako akiwa hana hasira hata siku moja 😁 πŸ˜πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈ

Ngoja nimuite Atoto unaitwa huku πŸšΆβ€β™‚οΈβ€βž‘οΈπŸšΆβ€β™‚οΈβ€βž‘οΈπŸšΆβ€β™‚οΈβ€βž‘οΈ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…