Baadhi ya watendaji wa JamiiForums wakutana kutathmini mwaka 2023

Kila la kheri ktk jambo lenu
 
Inazingua sana, hata PM kusoma kwa wengine ni mtihani.

Moderator
Walishasema kuwa apps zote watazitelekeza. Labda itabidi watoe tangazo ili watu tuachane nazo rasmi na waziondoe kabisa huko Google na Apple store maana kwa sasa hazifai!


 
Aisee kuna pisi...

Ila rudisheni App ile wakuu. Hii shortcuts ya browser haina privacy maana huwezi kupiga lock. Na mambo ya ku sign out kila muda hatujazoea. Ukimpatia mtu simu unawaza tu akifungua app ya shortcuts chap anajua ID yako.

Au ni ushamba wangu wa matumizi ya simu? Kama kuna namna ya kuipiga lock wakuu mnipe shule.
 
Jamii Forums punguzeni ' bans' zisizo na maana hata walio hukumiwa kifo hawanyongwi
Pole Babu Ochu umepotezwa na ban
 
Hivi ndugu yangu na rafiki yangu mkubwa sana Bw. Mike Mushi aliendaga wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…