Baadhi ya watendaji wa JamiiForums wakutana kutathmini mwaka 2023

Anzisheni jukwaa ambalo nyuzi zitakuwa zinafutika ndani ya saa 24, 48 au wiki moja

Mf; nauza simu huu uzi utaendelea kubaki jf ata kama nimeshauza hiyo simu

Lakini kama nimeweka hilo tangazo kwenye nyuzi zinazofutika kama sijauza nitalirudisha na kama nimeuza litakuwa lile bandiko halipo tena.
 
Mnalitumia vibaya neno pisi kali
Kwanini Mkuu?

Huenda macho yangu ya Kizee hayaoni ila nina uhakika nimeziona.

Mwingine Upisi kali wake unaweza usionekane Kwa Vijana wengi ila Kwa Sisi Wazee tu πŸ˜œπŸ€—
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…