Baadhi ya watu wanajiuliza kwanini ''bwana yule'' hapati tena siri za Ikulu?

Baadhi ya watu wanajiuliza kwanini ''bwana yule'' hapati tena siri za Ikulu?

Ila wakati huu alisaidia sana. Alibakia mtu pekee mwenye uwezo wa kupenyeza taarifa, ziwe za kweli ama tetesi. Uwepo wa kigogo ulipunguza speed kidogo ya bwana yule hasa kwa wale wakosoaji wake.
Kipindi cha JPM alipata mileage sababu kiongozi naye alikuwa ana makosa mengi madogo madogo. Ila baada ya mwendazake kwenda taratibu watu washaanza kumuelewa ni mtu wa namna gani.
 
Kigogo yuko sahihi kabisa...yapo mambo makubwa makubwa kwa kiongozi mkubwa kudeal nayo sio hizi issue ndogo ndogo ambazo mkurugenzi wa jiji zinamtosha..
Msichokijua ni kuwa kariakoo ni shirika la Umma ( Kariakoo Markets Corporation ) na wakurugenzi wote wa mashirika ya umma ni wateule wa Rais.
 
Kariakoo ni sehemu moja kubwa sana kibiashara kwenye ukanda wa Africa mashariki na kati.So mama yupo sawa kabisa.
 
Kigogo yupo poa sana. Ila aachane na Mama Samia. Huyu mama anapitia kipindi kigumu sana. Ajira hamna, Sukuma Gang wanamvuruga, Uchumi umekufa n.k yaani hajui aanzie wapi.
 
We huoni point hapo? Mbona mambo hayo anaya weza DC tuu?
Ukisha kuwa mkubwa dili na mambo makubwa makubwa, madogo wabane wadogo watende
Kuna wakati vitu fulani vinahitajika kufanywa kutoa statements fulani kwa malengo maalum. Vinginevyo ukitoa kuteua, kuapisha, ku-declare vita utakuta hamna kazi ambazo haziwezi kufanywa na wengine.
 
Kigogo yuko sahihi kabisa...yapo mambo makubwa makubwa kwa kiongozi mkubwa kudeal nayo sio hizi issue ndogo ndogo ambazo mkurugenzi wa jiji zinamtosha..
I concur with you. Badala ya kuhangaika na wachuuzi wa nyanya na ndizi bora angeenda bandari ambako ni kitovu cha uchumi wa nchi.

Tanzania ina vikariakoo kibao. Hivyo vingine atavitembelea lini....!?
 
Hawa viongoz nao ni binadamu muda mwingine wanaboreka kukaa ofisin wanataka kujichanganya walau wapate mambo mapya ndio hapo ubunifu wa ziara za kushtukiza unapotamalak.
 
Kweli sio kila kigogo ni kizima fahamu vyengine vimeliwa na funza
 
Kwa mtu mwenye akili kubwa atajua umuhimu wa Rais kufika Kariakoo na mwenye za kuvukia barabara tu utaona ni jambo dogo. Kariakoo ni soko kubwa la jiji lenye watu zaidi ya milioni tano lakini pia katika ukanda wa Afrika Mashariki.

Unapuuzaje hilo eneo? Hoja nyingine michosho na vibweka vya kaboka mchizi.
 
Muacheni Rais atembee tembee kidogo, kukaa ndani nako kunachosha...
 
Back
Top Bottom