Baadhi ya watu wanajiuliza kwanini ''bwana yule'' hapati tena siri za Ikulu?

Baadhi ya watu wanajiuliza kwanini ''bwana yule'' hapati tena siri za Ikulu?

Turudie mara ngapi? Ni Dhaifu!!!!!!!, tumerudi enzi za Msioga za Mr. Dhaifu!
Bila shaka hata makinikia mchanga bila ya yule mbunge kuuliza kama umeanza kusafirishwa wala.tusingejua kama mambo yameisha endelea bila mkataba mezani wa mchanga uliokua bandarini kusadirishwa na mwingine kuendlea kuuzwa
 
Bila shaka hata makinikia mchanga bila ya yule mbunge kuuliza kama umeanza kusafirishwa wala.tusingejua kama mambo yameisha endelea bila mkataba mezani wa mchanga uliokua bandarini kusadirishwa na mwingine kuendlea kuuzwa
Makinikia yaliruhusiwa kipindi cha Magufuli, tena watu waliongea sana hilo.nyie mnashangilia tu kila mlichokuwa mnaambiwa na yule
 
Mzee Baba dunia imehama na inakwenda kwa kasi siku hizi hamna muda wa kukaa kwenye mikutano kila siku kusikiliza kero mambo ni humu humu na tunao to a maoni humu ndio wananchi kwenye upeo angalau.
 
Ukisikia nyuma geuka wa mwisho atakuwa wa kwanza. Hawezi kumskiliza kigogo wakati kutwa anamtukana, angekuwa anamsikiliza basi DPP Biswalo asingempa u judge..
Hizo ni assumption zako tu.
Unataka azindue miradi uliyokwisha zinduliwa, hadi viwanda vya kusaga sembe kama baba Jesca [emoji28][emoji28][emoji28]
We ndio hufatiliii mambo umeliona na biswalo peke yake ? Hujaona la sabaya, hujaona la utenguaji karibia mara mbili.
 
Siku watanzania wakizinduka toka usingizi wa pono na wakajua gari limepotea njia wanaelekea bondeni muda hutokuwa upande wao tena leo wahuni wa mitandaoni ndo wamekuwa washauri wa kiti kikuuu
Asee tumepoteeea kwa mileage kubwa sna wtz tutashtuka gari ishazama mpka sasa tumepotea hatuelwani.
 
We ndio hufatiliii mambo umeliona na biswalo peke yake ? Hujaona la sabaya, hujaona la utenguaji karibia mara mbili.
Sabaya huyo hata video za ujambazi wake zipo hadharani, aliowadhuru wapo sasa wewe ulitaka amuache tu, hivi uwa mnafikiri kwa kutumia makalio.
Mbona hajamkamata makonda japo wanapiga kelele akamatwe? Mbona hajamkamata kigwangala, mbona hakuvunja baraza la mawaziri?
Sabaya katenda uovu acha apelekwe mahakamani kama hana hatia ataachiwa. Au mahakama zipo kwa ajili ya watu flani tu?
 
Huyo MPAMBAZI ni mpumbavu unaona kabisa MTU ana ushawishi na anaweza kuharibu biashara yako bado unajitia kidume kujibizana nae,
Unajibizana na MTU ambaye hana cha kupoteza,sasa DIAMOND akanunue hizi sabuni agawe na sijui atanunu kwa miaka mingapi.mambo mengine ni kukaa kimya yapite.
 
Sasa unataka Serikali isisikilize maoni ya mtandaoni iweje unatumia tena mtandao kuieleza maoni yako?
Katumie hiyo njia nyingine mitandao haifai
Mzee kichwa chako kibovu na wewe nimesema isisikilize pke yake mitandaoni ila iwape nafasi na wengine hlf ikiwapa nafasi wa mitandaoni isiwe kwa ukubwa kama kwa sasa kila kitu kikitokea mtandaoni mpaka bungeni kinafika.

Wakati kuna maisha mengine ya wnanchi wa kawaida wanatakiwa kutatuliwa matatizo yao.


Nahisi darasani ulikia huelewi maswali kwa kusoma kwako haraka haraka au kipengele cha ufahamu hukusoma la saba na kuifanunua habari
 
Mama hafungui miradi ya kuku au ambayo ilikwisha zinduliwa. Nyie kina Sabaya, Veronica France,Kigogo2014,chawa wa Magufuli n.k mtaumia Sana. Madame President hapendi chawa.

Na zaidi mnayemtetea ndio kwanza amepekekwa mahakamani.
Lakini ndio ujue ajali barabarani zimeanza, uvamizi pwani huko watawa karibia tisa wamepigwa na kupolwa millioni 2.
 
Back
Top Bottom