Baadhi ya watu wanajiuliza kwanini ''bwana yule'' hapati tena siri za Ikulu?

Haiwezekani eti kila kiongozi akiingia madarakani anafanya ziara za kushtukiza mahospitalini,masoko na Bandarini!Hizi siasa za kizamani na kishamba sana!!Anapaswa atume wateule mambo yaende!!!HALAFU KURUGENZI ZA IKULU ZINARUSHA LIVE UTOPOLO BILA AIBU!!NI BORA YANGEFANYIKA GIZANI HAYA YOTE!!!
 
Bi Mkubwa amefilisika kisiasa & kiuongozi
 
Hakusikia Rais Samia kasema yeye ni infallible. Yeye hakosei. Yeye ni mkamilifu.
 
Kipindi cha JPM alipata mileage sababu kiongozi naye alikuwa ana makosa mengi madogo madogo. Ila baada ya mwendazake kwenda taratibu watu washaanza kumuelewa ni mtu wa namna gani.
 
Back
Top Bottom