msabillah
JF-Expert Member
- Dec 5, 2011
- 4,764
- 3,192
Kwani nani hana asili ya shamba hebu kaa na wazee wako uwaulize asili yao wapi kama siyo shamba.Kwa sababu Rais aliyeko siyo mshamba.
Samba =msamba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nani hana asili ya shamba hebu kaa na wazee wako uwaulize asili yao wapi kama siyo shamba.Kwa sababu Rais aliyeko siyo mshamba.
Ukishaweka hapa sio yako tena pimbi wewe unafuga tumbo kama mimba
Walikuwa wanatoa taarifa wanampenda mama
Njia pekee ya kudhibiti siri ni kuwa na utawala bora....sio kufanya mambo ya ajabu kisha uanze kutafuta namna ya kuyaficha.......hata hivyo twitter sasa inapatikana bila VPN
Imagine dogo wa himo anamwita mkazi wa Osterbay Mshamba.Nadhani ulichochangia hakina uhusiano na mada yangu! Hata hivyo neno mshamba ni dhana tu kulingana na udogo au ukubwa wa fikra zako!
Mnafiki wa kwanza ni wewe.....Usichokijua kuhusu huyo mama ni kwamba ni mnafiki kama wanafiki wengine.
Kabeba ajenda ya Zanzibar kitawala Bara. Mengi yanakuja na yatakuumizeni soon.
Imba wimbo wake kwa sauti, hata utakapoumizwa itikia tu kazi na iendelee. Usijali kazi itakayoendelea, wewe imba tu kwa sauti.
Mkuu Umemaliza na maneno makali sana mkuu wangu....Bora alete hiyo ajenda ya Zanzibar ilimradi habagui, haui wala kuonea watu kwa sababu ya mrengo wake wa siasa, dini, kabila au kanda.
Down with Magufuli. Great Satan Magufuli
🤣🤣Tatizo la Kigogo yeye ana aina yake ya mtu anayetaka awe rais ambaye haexist duniani na hata akiexist bado atatafuta namna ya kumpinga.
Yaani kiufupi anapinga kila kitu, hana jema hata moja!
😊Tuletee hizo nondo humu bwana Jasusi
Na kumrudisha kwenye reliKila zama huzaa "bwana yule" muda utajibu
Ukweli " bwana yule" ni system humtengeneza kwa maslahi mapana ya kumtisha kiongozi
Shukrani Mkuu!Mkuu MsemajiUkweli, umefanya analysis moja matata sana, kuna wakati na mimi nilikuwa najiuliza hivi, "Bwana yule" na haya mapenzi na CHADEMA yameanza anzaje? Kuna nini ameshaona amekikosa?
Muda utatufahamisha vizuri.
Kwa kiwango kikubwa ninakubaliana na mchango wako!MsemajiUkweli ni hivi: Marehemu Magufuli hakujua maadui wake hasa ni kina nani. Alidhani kina Lissu (upinzani kwa jumla) na watu wanaomkosoa ndiyo maadui. Hakujua wale waliokuwa wanamsifia 24 hours/7 days, ndiyo maadui wake tena wabaya sana.
Mkuu;Kwa sababu State criminal syndicate imekamilisha mission yake.
Kwanini kanisa katoliki halitoi ten takwimu za vifo vya masisita n mapadre wanaokufa kwa korona?
Kwann Lutheran hawatoni tena takwkmu za wachungaji kufa kwa korona?
The mission is Over, Covid-19 was just only the scapegoat to kill magufuli.
Mguguli threatned interests of big fishies in the Ocean, so Church leaders were just used by magufuli's foes to spread propaganda to tha Tzanians so as to hve psycjological justifiction to kill him.
Ndio maana baada ya kifo chake COVID-19 is no longer again a storyday of this country, bussiness as ussual.
Western media outlets like BBC,VOA DW are silence no one is reporting about covid-19 skeptical policies....
Magufuli was killed by non-state actors
Ni kama unatania lakini...Atatoa siri wakati ndo yuko ndani ya nyumba. Avujishe siri zake.
Hahaha, bwana yule kama demu, mipasho, matusi, kulazimisha kupendwa, kujifanya world of politics anaijuwa na kutwa kujiona yuko sawa na wengine mbumbu tu?!Nimeona sehemu nyingi baadhi ya watu wakijadili kuhusu ''bwana yule'' huku wengine wakimbeza lakini wengine wakiuliza kimetokea nini kwa sasa ''bwana yule'' hapati tena siri za Ikulu.
Kwa wasiojua vizuri wameenda mbali zaidi na kudai eti kwa sasa siri za Ikulu zimethibitiwa na uongozi mpya!
Napenda niwasaidie kwa kuwaambia kuwa hakuna siri za Ikulu zilizothibitiwa ila wale waliokuwa wanatoa siri za Ikulu na kuzipeleka kwa ''bwana yule'' kwa sasa ndio hawa ambao wako madarakani. Kwa maana nyingine, kwa sasa ndio walioshika Ikulu/utawala moja kwa moja. Yaani sio tena watoa ushauri bali kwa sasa ni wabunifu na wasimamia utekelezaji.
Biashara yao na ''bwana yule'' ya kumpa siri za Ikulu iliisha siku ambayo Rais Samia aliapishwa kuwa Rais wa Tanzania!
Haishangazi kuona kwa sasa ''bwana yule'' anawashambulia sana baadhi ya wale waliokuwa wanampa siri za Ikulu baada ya kugundua hawataki tena mahusiano naye. Yaani kwa sasa wamemalizana naye!
Nasikia kwa sasa wale wale waliokuwa wanampatia siri za Ikulu wana mpango wa ''kumnyamazisha'' ili huko mbeleni asije akatumia umaarufu waliomuwezesha wao wenyewe kuichafua serikali yao. Kibaya zaidi, wanamjua vizuri kwa maana kuwa, wanazijua nguvu zake na udhaifu wake(strengh and weakness) kwa sababu ndio walimuwezesha kupata umaarufu kwenye mitandao ya kijamii. Hata kupata kitambulisho cha ''blue tick'' ilikuwa ni jitihada za baadhi ya wale waliokuwa wanampatia siri za Ikulu.
Baada ya kukosa ushirikiano kwa sasa ''bwana yule'' anafanya jitihada za kuwa karibu na wenyeCHADEMA ili apate uungwaji mkono kwenye mitandao! Kwa wanaofahamu historia ya ''bwana yule'' watajua kuwa huko nyuma hakuwahi kuipenda/kuishabikia CHADEMA hasa hakumpenda Mwenyekiti Mbowe na aliwahi kumshambulia sana akidai mwizi wa pesa za chama.
Huko mwanzo, ''bwana yule'' alikuwa ni mwanaCCM lakini baadaye akawa ''mwanaACT-Wazalendo'' kabla ya ujio wa Maalim Seif na kundi lake! Wakongwe wa siasa nchini wanajua kuwa ACT-Wazalendo ni ''stepping stone'' kwa wanaCCM! Kwa maana nyingine, ACT-Wazalendo ni kama fimbo ya kuchapiana wanaCCM kwa wanaCCM!
Hasira za ''kutoswa'' zinamfanya aanze ''revenge'' kwa waliomtosa kwa kutumia ''platform'' za CHADEMA.
''bwana yule'' anajua bila kupata sapoti ya wanaCHADEMA hawezi kuendelea kuwa ''relevency'' kisiasa katika dunia ya mitandao kwa sababu CHADEMA ni kundi pekee la kisiasa nchini ambalo hajapoteza uungwaji mkono.
Hoja iliyopo kwa sasa ni kujua kama ''kinyago'' walichokichonga walioko madarakani kwa sasa kitawatisha au watakiangamiza kabla hakijaanza kuleta madhara!