Kocha Mkuu
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 1,862
- 3,320
Mimi kwenye sakata la kuteua VP ndo niligundua sio kwamba ni mzalendo wala nini..ni mjinga mmoja mwenye personal interest zake.
Kipindi cha JPM alipata mileage sababu kiongozi naye alikuwa ana makosa mengi madogo madogo. Ila baada ya mwendazake kwenda taratibu watu washaanza kumuelewa ni mtu wa namna gani.
Msichokijua ni kuwa kariakoo ni shirika la Umma ( Kariakoo Markets Corporation ) na wakurugenzi wote wa mashirika ya umma ni wateule wa Rais.Kigogo yuko sahihi kabisa...yapo mambo makubwa makubwa kwa kiongozi mkubwa kudeal nayo sio hizi issue ndogo ndogo ambazo mkurugenzi wa jiji zinamtosha..
Hukuelewa. Umedaka tu sentensi moja unatambaa nayo.Hakusikia Rais Samia kasema yeye ni infallible. Yeye hakosei. Yeye ni mkamilifu.
Tunaendelea kumdharau tuAnakera sana, kwa kifupi hana akili.... Ana kaugonjwa ka ubongo labda
Katika comments zote hii yako nmeielewa.Siasa mchezo mchafu.
Kuna wakati vitu fulani vinahitajika kufanywa kutoa statements fulani kwa malengo maalum. Vinginevyo ukitoa kuteua, kuapisha, ku-declare vita utakuta hamna kazi ambazo haziwezi kufanywa na wengine.We huoni point hapo? Mbona mambo hayo anaya weza DC tuu?
Ukisha kuwa mkubwa dili na mambo makubwa makubwa, madogo wabane wadogo watende
Kabisa, mwanzo niliturn on notification kutoka kwake now nimeturn off....mwehu yuleTunaendelea kumdharau tu
I concur with you. Badala ya kuhangaika na wachuuzi wa nyanya na ndizi bora angeenda bandari ambako ni kitovu cha uchumi wa nchi.Kigogo yuko sahihi kabisa...yapo mambo makubwa makubwa kwa kiongozi mkubwa kudeal nayo sio hizi issue ndogo ndogo ambazo mkurugenzi wa jiji zinamtosha..
Nimeshtuka huyo sio mtanzania
Sukuma gangBi Mkubwa amefilisika kisiasa & kiuongozi
Nnyaa ipi ??? Y baba? Au ya MAMA.K.........OView attachment 1808101
Huyu jamaa hana jema hata umlambe nnya ye kwake kila kitu ni vibaya kila kitu kibaya atakua na maisha ya stress sana huyu fala
Rais ana Majukumu makubwa sana Kariakoo angemtuma Waziri mkuuView attachment 1808101
Huyu jamaa hana jema hata umlambe nnya ye kwake kila kitu ni vibaya kila kitu kibaya atakua na maisha ya stress sana huyu fala