Bila shaka hata makinikia mchanga bila ya yule mbunge kuuliza kama umeanza kusafirishwa wala.tusingejua kama mambo yameisha endelea bila mkataba mezani wa mchanga uliokua bandarini kusadirishwa na mwingine kuendlea kuuzwaTurudie mara ngapi? Ni Dhaifu!!!!!!!, tumerudi enzi za Msioga za Mr. Dhaifu!
Tulisha zoeaaaa jombaaa ila kikubwa get the logicsukuma gang
Hamia Burundi, kuna dikteta mzuri sana, alikuwa ndio rafiki pekee wa jiwe aliyebakiTurudie mara ngapi? Ni Dhaifu!!!!!!!, tumerudi enzi za Msioga za Mr. Dhaifu!
Katufute kwingine boss utapata jf kubwaSijaona kitu
hii ni nchi yangu, hama weweHamia Burundi, kuna dikteta mzuri sana, alikuwa ndio rafiki pekee wa jiwe aliyebaki
Makinikia yaliruhusiwa kipindi cha Magufuli, tena watu waliongea sana hilo.nyie mnashangilia tu kila mlichokuwa mnaambiwa na yuleBila shaka hata makinikia mchanga bila ya yule mbunge kuuliza kama umeanza kusafirishwa wala.tusingejua kama mambo yameisha endelea bila mkataba mezani wa mchanga uliokua bandarini kusadirishwa na mwingine kuendlea kuuzwa
Tupate mara ngapi tabu si tupo humu humu ! Kwa hiyo tuwaze tofautu hata kama kun mambo yalikua sawa ila kwa sasa yanapwayaWatapata tabu sana
Mi sina shida, nafurahia rais wangu anachofanya, na ndio kwanza ana miezi 3 katika miaka 10 iliyobakihii ni nchi yangu, hama wewe
We ndio hufatiliii mambo umeliona na biswalo peke yake ? Hujaona la sabaya, hujaona la utenguaji karibia mara mbili.Ukisikia nyuma geuka wa mwisho atakuwa wa kwanza. Hawezi kumskiliza kigogo wakati kutwa anamtukana, angekuwa anamsikiliza basi DPP Biswalo asingempa u judge..
Hizo ni assumption zako tu.
Unataka azindue miradi uliyokwisha zinduliwa, hadi viwanda vya kusaga sembe kama baba Jesca [emoji28][emoji28][emoji28]
Asee tumepoteeea kwa mileage kubwa sna wtz tutashtuka gari ishazama mpka sasa tumepotea hatuelwani.Siku watanzania wakizinduka toka usingizi wa pono na wakajua gari limepotea njia wanaelekea bondeni muda hutokuwa upande wao tena leo wahuni wa mitandaoni ndo wamekuwa washauri wa kiti kikuuu
Fatilia ujue mambo yalivyo yumba si bado hujashtuka na hela mtaani hmna.tulia wewe
Sio ukojoe ulale .Mkojoe mlale
Sabaya huyo hata video za ujambazi wake zipo hadharani, aliowadhuru wapo sasa wewe ulitaka amuache tu, hivi uwa mnafikiri kwa kutumia makalio.We ndio hufatiliii mambo umeliona na biswalo peke yake ? Hujaona la sabaya, hujaona la utenguaji karibia mara mbili.
Mimi mbona ninazo we kama huna basi shauri yako. Tulia dawa iwaingieFatilia ujue mambo yalivyo yumba si bado hujashtuka na hela mtaani hmna.
Mzee kichwa chako kibovu na wewe nimesema isisikilize pke yake mitandaoni ila iwape nafasi na wengine hlf ikiwapa nafasi wa mitandaoni isiwe kwa ukubwa kama kwa sasa kila kitu kikitokea mtandaoni mpaka bungeni kinafika.Sasa unataka Serikali isisikilize maoni ya mtandaoni iweje unatumia tena mtandao kuieleza maoni yako?
Katumie hiyo njia nyingine mitandao haifai
Lakini ndio ujue ajali barabarani zimeanza, uvamizi pwani huko watawa karibia tisa wamepigwa na kupolwa millioni 2.Mama hafungui miradi ya kuku au ambayo ilikwisha zinduliwa. Nyie kina Sabaya, Veronica France,Kigogo2014,chawa wa Magufuli n.k mtaumia Sana. Madame President hapendi chawa.
Na zaidi mnayemtetea ndio kwanza amepekekwa mahakamani.
Sio dikteta mama awe serious sio.kila. kitu mpaka wajadilianeHamia Burundi, kuna dikteta mzuri sana, alikuwa ndio rafiki pekee wa jiwe aliyebaki