Baadhi ya watu wanajiuliza kwanini ''bwana yule'' hapati tena siri za Ikulu?

Haya kaenda sabaya na bado nipo dawa gani.unasema iingie jlf nilicho sema na unacholilia ni vitu viwli tofauti mie.naonglea imfluence wewe unalzmsha.sabaya
Kama kuna ushahidi wa anachosema kwanini asiufanyie kazi? Wewe unachojali ni kasema nani au kama alichosema kina ukweli?
 
Lengo ni kumtetea Sabaya lakini umechelewa. Sabaya hajaanza kuanikwa Leo hapo alipo kajipeleka mwenyewe, kama unaona kaonewa au kakamatwa sababu ya maneno ya mitandaoni nenda kawe wakili maana Leo kakosa hata Wakili.
Hapana sio kumtetea sabaya tatizo la jf huwa manajibu ya kukalilishana saivi imekua kumtetea sabaya, hapo nyuma ilikia mataga na sukuma gang hamfikiliii tofautu kabisa. Jf cku hz cjui ina watu gani?
 
Soma elewa ufahamu umekosa kabisa nimesema ushauri.wa mitaondaoni asikilize lakini usiwe.kwa kiwango kikubwa kuliko fikra zake na wananchi wengine mbona uko zero.
Nami nakusapoti, ushauri wa kipumbavu kama huu wako, asiusikilize kwa kiwango kikubwa.
 
Mimi ni kijana nimesoma na kulingana na ugumu wa ajila nikaona fursa ipo kwenye ujasiriamali nikajiajili na kuajili vijana wenzangu pia ili kusogeza Maisha na kujipatia Ugali wa kila siku. Maamuzi yangu ya kuamua kusimama na Diamond PlatnumZ haikua kwaajili ya vita bali Utanzania.

Kijana amusha legea huko twitter.
 
Hembu soma uelewe tena maana upo out of context tutabishana sana na mie sipendi tubishane nataka uelewe nataka ni impose nini ?
 
Sasa mkuu aliyemkamata jamaa ni SSH au TBS wazee wa kukurupuka kama Dr. mwaka alivyokurupuka akaenda mfungia Dr. mwaka kisa mangekimambi ana bifu zake na diamond.
Kigogo ana movement zake flani nyingine hata mimi sizikubali, ila mleta mada siyo kweli kwamba SSH nafuata kigogo anachosema.
Angekuwa anafuata basi Biswalo asingekuwa judge, Manji asingekuwa kakamatwa na takukuru, Happy asingekuwa mbunhe, Dotto asingekuwa serikalini, tungekuwa na baraza jipya la mawaziri
 
Rais kasema yeye hakosei.
Rais kasema,in effect,kusema "rais kakosea" ni uhaini.
Alikuwa a azungumzia kuhusu wanaCCM kuwatenga wateule wake wanaotokana na vyama vingine hasa akitolea mfano wa Anna Mgwira kwamba wanaCCM walikuwa wanamtenga wakisema siyo mwenzao. Hivyo wasimbague yule wa Iringa kwasababu yeye kama Rais hajakosea kumteua.
 
Exaxtly mzeee nakupa 100% kwa kuelewaa maana kuna watu wamekuja na mihemko mara sabaya mara mataga mara sukuma gang

Jf inakosa watu wanao elewa habari na kukulupuka kujumuisha watu kwa majibu ya kukalili.
 
Umejitahid mwenyewe eenh? Una uchungu wa sabaya nini?
 
Yeye mleta mada kwa akili yake ilivyomtuma anaona kama SSH ndio kaagiza TBS wakague sabuni za jamaa.

Na kweli sabuni za jamaa hazina TBS kwasababu ni biashara changana ni locally made.
 
Hembu soma hiyoo hicho ndio namaanisha maana wewe umeisha kula na huna.usingizi. utanifanya nichoke maana huelewi ninacjo maanisha kuyumbishwa kwa serikali na kundi la wtu wa mitandaoni kwa baadhi ya mambo ambayo ni ya kipuuzi.
 
Bandiko bora la mwaka πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™ barikiwa sana kiongozi, hii nchi sijui inaelekea wapi hakuna jambo la maana lililofanyika kipindi cha hawamu ya sita, miradi ndio imesimama na rais kawa ni mtu wa mitandaoni, mustakabali wa taifa hatuufahamu aseeee.
 
Unaonesha kuna kitu cha maana ulitaka kusema ila kwa mbali naona ni mfuasi mwema wa jiwe,

Ni kweli kuna shida lakini vumilia kipindi cha jiwe zilikuwa nyingi hazikuanikwa wazi tu.
These people are confused bro πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
 
Kama kuna ushahidi wa anachosema kwanini asiufanyie kazi? Wewe unachojali ni kasema nani au kama alichosema kina ukweli?
Tatizo kuna mengine ni husuda na chuki lakini.hayana maana nimekupa swala mpambazi mpaka kaitwa tbs !!

Sijui unaelewaa nacho kimaanisha au hutak tu kuelewa ili tubishane
 
Sukuma gang mtateseka sana
 
Yeye mleta mada kwa akili yake ilivyomtuma anaona kama SSH ndio kaagiza TBS wakague sabuni za jamaa.

Na kweli sabuni za jamaa hazina TBS kwasababu ni biashara changana ni locally made.
TBS wazinguaji tu ukiingia kwenye 18 zao kama wewe ni mjasiriamali huchomoki yani kuna muda inabidi uuze vitu under the hood mpaka uprocess kila kitu.
Wakikuibukia wanachukua had machine zako.
Hao TBS watakuwa wamekurupuka tu au wamepata jamaa hana makaratasi maskini kumtetea mond kumemponza.
SSH hamsikilizi kigogo kwanza anamtukana kwa kila kitu anachofanya. Huoni anavyomshambulia zitto kwa kumsifu raisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…