Tetesi: Baadhi ya Watumishi KKKT kufanya kazi bila mikataba ya ajira

Tetesi: Baadhi ya Watumishi KKKT kufanya kazi bila mikataba ya ajira

Laiswa

Member
Joined
Jun 28, 2018
Posts
61
Reaction score
94
Je, ni sawa kwa baadhi ya watumishi wa KKKT kufanya kazi na kupokea mishaara bila mikataba ?
 
as long as umekubaliana na hali n mtaani kwamoto, na unalipwa...!!
Ts owk ila sehem salama
 
Je ni sawa kwa baadhi ya watumishi wa KKKT kufanya kazi na kupokea mishaara bila mikataba ?
Mishahara kama mishahara bila mkataba kuna ukakasi kidogo hapo, lakini pia tunatakiwa jiuliza, je unapoongelea mishahara ina maana inajumuisha stahiki zote ambazo mfanyakazi wa kawaida anastahili?

Naweza nikasahihishwa lakini taasisi za kidini zina kawaida ya kuwa na watu wengi ambao ni waumini na wanafanya kazi kwa kujitolea, hivyo ni muhimu kuangalia kwanza hilo kabla ya kufikia kuongelea mikataba ya ajira.

Pia katika kuangalia kuna umuhimu wa kuangalia historia ya ajira za hao watumishi.
 
watumishi wa KKKT, Ndo Shirika gani hilo??? 🤔 🤔 🤔
 
Back
Top Bottom