Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
Ni kweli muda unavyozidi kwenda kuna wengine ndo wanaingiziwa salaryMsikate tamaa ndugu ni system tu walio tumia.
Chamgamoto kama hii ilishawahi jitokeza wakati wanaanza kulipa mishahara moja kwa moja kutoka hazina.
Hans Pol
daaa hata humo pia nilikuwemo tulikaa 2weeks bila mshahara 2014 julyMsikate tamaa ndugu ni system tu walio tumia.
Chamgamoto kama hii ilishawahi jitokeza wakati wanaanza kulipa mishahara moja kwa moja kutoka hazina.
Hans Pol
wachache mlobaki na roho zenu. sawa mkuuJamani tuwe na Subira kumbukeni kuwa Mwezi huu Serikali imeanza kulipa mshahara kwa mfumo wa kielectronic Direct from BOT hivyo mwanzo una changamoto zake hivyo ambao hamjapata muwe na Subira mtapata tu mambo yanaenda vizuri.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaa na anakuja kuweka kufuli hapo.
Hahahaha mkuu Tafadhali usifanye maamuzi magumuMimi mwenyewe salio halitoshelezi. Nitachukua maamuzi magumu masaa 24 kutoka sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nini lengo la kusema una diploma,unataka kufikisha ujumbe ganiMimi mwenyewe elimu yangu diploma sijapata mshahara wangu uhakiki wote nimefanya sina shida
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kwa nin watu wengi wakitaka kurefer kitu kilichofanyika miaka mingi nyuma hupenda kusema mwaka 47?Mzee ulimwengu alisema uyu jamaa anaturudisha mwaka 47 ndio hii sasa poleni watumishi wa umma
Unajinyonga au....mnanivunja mbavuuuu,,,hapa kwetu karibu wote badoMimi mwenyewe salio halitoshelezi. Nitachukua maamuzi magumu masaa 24 kutoka sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni zaidi ya msiba, kila kona vilio, na dukani kwa mangi sijui ataelewaje,! mwe mwe mwe mwe mwe mwalimueeee
Namaanisha kuwa elimu yangu iko chini sana haihitaji ngazi kuifikiaMkuu nini lengo la kusema una diploma,unataka kufikisha ujumbe gani