Tetesi: Baadhi ya watumishi wa umma hawajapata mshahara

Mhasibu wa Idara ya Usalama Barabarani (Traffic Police) labda kachelewesha kupeleka makusanyo ya Juni. Wale waliokosa wafuatilie kwa ukaribu tweet account ya Humphrey Polepole huenda wakaitwa Lumumba
 
Hadi muda huu kwangu hamna kitu...kuna jamaa ananidai akisikia umetoka nikimueleza haujaingia sijui kama atanielewa...
Hapa wife nimemwambia nasikia wengine hawajawekewa hebu cheki kwako akawa mbishi, kaingia kucheki zero yupo chooni hali mbaya [emoji23][emoji23]
 
Same case! Ngoja tuwasikilizie kwanza...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu tunarudi kulekule. Pesa inapigwa fixed kwa siku 20 mnaambiwa mtandao watu wanavuta chao ndo mnaingiziwa upuuzi wenu
 
[QUOTNina ingson, post: 22403228, member: 250614"]Mshahara umeingia toka jana na subiria mpaka leo mchana usipongia wasiliana na afisa utumishi wako. Kingine hakikisha taarifa zako za kibenki kwa maana majina yako sahihi na ya utumishi

Sent using Jamii Forums mobile app[/QUOTE]
Kama majina ni tofauti
 
Unaandika kwa kujiamini kana kwamba una uwezo wa kuangalia salio la account zote Tz, in short had jana jioni ni wachache sana walioingiziwa salary. Bank ya karibu yangu wala haikuwa na watu kama ilivyo desturi. Mimi binafsi sikuingiziwa labda leo.
hayajamkuta,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sipati picha mlivyokodoa macho kwenye simbanking. Hapo mshanyofolewa kwenye payroll
 
Walisema kwa system ya BOT watumishi wote watakuwa wanapata mshahara kwa wakati mmoja, then what is this?
Mwenye funguo za pesa anazunguka na mjombawe kwenye ziara. Hao waliopata ni mabaki tu. Msubirini arudi ziara
 
Ndugu,usije kuwa unaongea kwa furaha uliyonayo ya wallet yako kujaa?
Chanzo cha taarifa hizo ni kipi/nani?
Kumbuka kusambaza taarifa ya selikari sio sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…