Na wewe ukisoma biblia zingatia misamiati iliyotumika ,wewe utajuaje kama kitu kina kilevi kwa kuonja tu?soma biblia bila kufungwa na upande wwte yaan uwe huru ata kujikosoa! utailewa bible vzr sana
Sawa hapo ni ndani ya Kanisa na gongo inapaswa inywewe ndani ya Kanisa ndiyo waumini watalewa vizuri na kufurahi!Mimi nimekosoa mtazamo wako kuwa, hapo waumini wa kikatoliki walipokuwa wakinywa 'gongo' sio ndani ya kanisa bali ni nje ya jengo la kanisa. So what?
Yaani unataka kusema, gongo inywewe nje ya nje ya jengo lakini sio ndani ya jengo. Logic ni ipi?
nimesema unywaji pombe ni upumbavu na walevi ni wapumbavu nduguUnywaji wa pombe haujawahi kuwa dhambi, kama ni hivo yesu sio kunywa tu bali alitengeneza pombe tamu kuliko iliyoandaliwa pale harusini kana! Pombe tamu ni ile iliyochangamka ndio inayokimbiliwa na watumiaji kwahyo yesu alifanya muujiza wa kutengeneza pombe Kali kushinda ya mwanzo! ko tuseme yesu alifanya dhambi
ogopa sana mtu ayekupa pombe nia yake ni kukucha na umasikini hadi kua fukaraKwa hiyo kwako ni halali na vyema kanisa katoliki kuwaandalia waumini wake tafrija ya kunywa gongo nje ya jengo, lakini sio halali kuwaandalia ndani ya jengo la kanisa?
Mimi nimeseka haya....Sawa hapo ni ndani ya Kanisa na gongo inapaswa inywewe ndani ya Kanisa ndiyo waumini watalewa vizuri na kufurahi!
How about that,umejisikia amani sasa?
Ila muujiza wake wa kwanza ilikuaje? Ingekua haramu huo usingekua ndo muujiza wake wa kwanzaYesu hakuwa mlevi wala mnywaji wa pombe. Acha kumsingia uongo.
Yesu hakufanya muujiza wa kutengeneza pombe. Hawezi kufanya huo ujinga na upumbavu.Ila muujiza wake wa kwanza ilikuaje? Ingekua haramu huo usingekua ndo muujiza wake wa kwanza
Kila mtu na muongozo wake kwakweliYesu hakufanya muujiza wa kutengeneza pombe. Hawezi kufanya huo ujinga na upumbavu.
hivyo unahisi alikua mleviIla muujiza wake wa kwanza ilikuaje? Ingekua haramu huo usingekua ndo muujiza wake wa kwanza
Exactly hakuna ulipokosea.Mimi nimeseka haya....
-Unywaji wa gongo kwa mkatoliki ni halali, na hata mapadri wanakunywa vizuri tu.
-Eneo la kanisa katoliki ni jengo na viunga vyake vyote kulizunguka.
-Gongo inaruhusiwa kunywewa na mkatoliki mahali popote hata kanisani.
Wapi nimesema mlevi?vivyo unahisi alikua mlevi
Rubani anaruhusiwa kunywa pombe?Wakatoliki hawataki ku- complicate, wao wanasema huwezi kuendesha maisha ya duniani yakawa kama ya peponi. Ishi kiuhalisia
Umemaliza.Kwani kuna shida yoyote. Kanisa moja Takatifu la mitume Hadi kitimoto tunakula madhabahauni. Vinyo ni sehemu ya ibada Acha ushamba wako wa Kwa mwamposa
Ahahahahaha!Petro hakuwa mnywa gongo.
Unywaji wa gongo ni utamaduni wa kibagani, sio ukristo uliohubiriwa na Yesu akiwa na wanafunzi wake.
Kama una swali lolote kuhusu Biblia na tunahitaji kulielewa watafute tu Mashahidi wa YehovaWatu tuko bize kutafuta nondo za kumjibu Dr.Naik kabla hajakichafua pale kwa Mkapa, halafu hawa Wakatoliki wanakuja kutuvuruga? Tutamwambia nini sasa Dr.Naik?
Wewe kanisa lako una uhakika wa Ufalme wa Mungu?Yaan hapa aibu ni Kwa Gazeti alitoa taarifa au Kanisan??
Roman Catholic halijawahi kua Kanisa la kumfikisha mwanadamu katika Ufalme wa Baba Mungu .
Neno divai n pembo itokanayo na mvinyo ambayo n uzao wa mzabibu,rejea muujiza wa harusi ya kana,Hilo nimeshalijibu.
Kama neno Divai kwenye muujiza wa harusi ya kana wewe umelistafiri kuwa ni pombe, hapo utakuwa umekosea sana. Kwanini? Haiwezekani Yesu afanye muujiza wa kutengeneza 'pombe' harusini, halafu watu wote wanyee mpaka watosheke (walewe?) halafu tukio hilo limrumdishie tena Mungu utukufu. Haiwezekani.
Unywaji wa pombe vilivyo unawezaje kumrudishia Mungu utukufu?
Kwa akili ya kawaida kabisa, popote pale, hata leo hii, mahali penye unywaji wa pombe ya kutosha panajaa uovu na kumpa utukufu shetani.